Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hamna wa kutoa wote wapo vizuri.. Mi uganda akinichania mkeka sio mbaya ataenda kutuwakilisha east africa.

......GHANA ana point 8...Uganda 7 Guinea 7...Togo 6.... kila timu inauwezo wa kupita ...hili ndio kundi ambalo halina mwenye uhakika..... togo akishinda anapita guinea akishinda anapita ghana na uganda wanabaki...Uganda pona yake ni KUTOA SARE TU....vinginevyo nje....
 
Na gervinho atakuwa nani kama yaya ni talis man

gevinho bado sana kwa yaya.. Gevinho anaweza akawa na mchango mkubwa sana uwanjani kuliko yaya lakini mwisho wa siku watu wataingia uwanjani na jezi ya yaya toure, magazeti nayo yatacover na picha ya toure... Leo hii wakiumia wote vyombo vya habari vitasema cote d'voire itamkosa yaya toure na sio Gervinho
 
Huyo Algeria kashapita,huwezi zingua?

mkuu na uhakika atashinda algeria kikosi chao kizuri na hawa jamaa hata world cup walikuwa vizuri,hata kama ameshapita nadhani atataka kuweka record nzuri ya kutofungwa katika afcon qualification.
 
nashukuru pia odd ya 4.5 ya uruguay ilikubali, mtaji wangu nami umerudi nilitupia laki2 kwa urugiuay tu nimepata laki 9

naiangalia kwa makini odd ya 4.65 ya algeria, nngoja nichungulie kikosi,

vikosi vinavyoanza mechi hutolewa dakka 30kabla ya mechi.....utavyoviona sasa vyote ni utabiri tu....
 
Leo nimejaribu kubet live nmeshinda ila ela bado haijaiingia.
wale wazoefu wa live pesa huingia baada ya mda gani?
 
Daah nilowaamini West Sydney na nilibakiwa na Tsh 13000 tu na yote nikawatupia nikiamini nitapata hela ya baadae ..matokeo yake wamenimwaga duuh sijaamini .
 
wakuu habari za leo?Tip zangu za leo ni hizi hapa;
atletico pr,algeria,Gabon,burkina faso,dr congo,ghana,Tunisia,Senegal.Saudi arabia na CSD Municipal.

Mechi ya tunisia na Misri ni NYEUSI sana...kwanza ni WAPINZANI WA JADI...pili...Tunisia anapoint 11 senegal ana 10...naukimaliza top wa kundi kama ujua kwenye DRAWS ndio mnatengwa.... kwa hiyo Tunisia atakaza ili apite kama kiongozi wa kundi...upande wa pili EGYPT akishinda ataonoza LIGI YA THIRD PLACED TEAMS ambapo kwa sasa IKO HIVI
1.Guinea....pt7
2.Congo Brazzavile...pt7
3.Egypt...pt6
4. Congo DR...pt6
5.Malawi ..pt6
6.Angola ...pt 5
7. Mozambique pt5
Sasa..... ikiwa Mozambique atashinda na kuongoza hili kundi ATAPITA...KIFUPI ATAKAEONGOZA HILI KUNDI LA NAFASI YA TATU BORA ANAPITA KUKAMILISHA IDADI YA TIMU 16.... KWA HIYO WAKUBWA MKIKUTA MECHI INA HAWA WATU ...USIIVAMIE ETI KISA MTU KAPEWA ODDS NDOGO...HIZI MECHI ZENYE HAWA WATU...NYEPESI JAPO SIO KIIVO NI YA congo DR.... NI MAONI YANGU TU KAMA MTOTO WA NZI....
 
ni best option kwa hao jamaaa.....ila kwa matokeo yao ya karibuni..... ni 50/50 wanaweza wasifike 2 au wanaweza kuvuka kabisa
WEST MATCHES
LOOSE 2-1 KWA PERTH
LOOSE 3-2 KWA SYDNEY
LOOSE 4-0 KWA MELBOURNE
LOOSE 1-0 KW ADELAIDE
LOOSE 1-0 KWA WELLINGTON
CENTRAL MARCHES
DRAW 2-2 NA MELBOURNE
LOOSE 3-2 NA ADELAIDE
LOOSE 2-0 NA SYDNEY
LOOSE 2-1 NA WELLINGTON
WIN 5-0 NA PALM BEACH

MECHI 4 AWAY WEST KAPIGWA ZOTE KAFUNGA 4 KARUHUSU 10 ...HOME NDIO MECHI YA 1 ..... CENTRAL KACHEZA 2 AWAY KADRAW MOJA KAFUNGWA 1 ..KAFUNGA 2 KARUHUSU 4.... CHEMSHA KICHWA..... HII OPTION YA 2-3 inaweza kuwa nzuri ila ni NGUMU....

HII MECHI BANA....DAH... IMENILA BUKU 5..LAKINI NSHARUDISHA KWENYE KIKAPU MECHI YA barako bull energy na Alaska Aces ...UOGA NOMA SANA ALASKA ALIKUWA NA ODD YA 1.08 MWENZAKE 8...ILIPOFIKA HALF...ALASKA AKAWA ANAONGOZWA 49 -31... ODDS ZA BARRAKA BULL ZIKAWA 5...NKAWEKA BUKU KWA UOGA...NA AKASHINDA ..... JAPO KIDOGO KAHASARA KA WAAUSTARLIA KAMERUDIPO...
 
Mechi ya tunisia na Misri ni NYEUSI sana...kwanza ni WAPINZANI WA JADI...pili...Tunisia anapoint 11 senegal ana 10...naukimaliza top wa kundi kama ujua kwenye DRAWS ndio mnatengwa.... kwa hiyo Tunisia atakaza ili apite kama kiongozi wa kundi...upande wa pili EGYPT akishinda ataonoza LIGI YA THIRD PLACED TEAMS ambapo kwa sasa IKO HIVI
1.Guinea....pt7
2.Congo Brazzavile...pt7
3.Egypt...pt6
4. Congo DR...pt6
5.Malawi ..pt6
6.Angola ...pt 5
7. Mozambique pt5
Sasa..... ikiwa Mozambique atashinda na kuongoza hili kundi ATAPITA...KIFUPI ATAKAEONGOZA HILI KUNDI LA NAFASI YA TATU BORA ANAPITA KUKAMILISHA IDADI YA TIMU 16.... KWA HIYO WAKUBWA MKIKUTA MECHI INA HAWA WATU ...USIIVAMIE ETI KISA MTU KAPEWA ODDS NDOGO...HIZI MECHI ZENYE HAWA WATU...NYEPESI JAPO SIO KIIVO NI YA congo DR.... NI MAONI YANGU TU KAMA MTOTO WA NZI....

aisee umenikumbusha hii kitu ya best looser nilikua nishaisahau
 
HII MECHI BANA....DAH... IMENILA BUKU 5..LAKINI NSHARUDISHA KWENYE KIKAPU MECHI YA barako bull energy na Alaska Aces ...UOGA NOMA SANA ALASKA ALIKUWA NA ODD YA 1.08 MWENZAKE 8...ILIPOFIKA HALF...ALASKA AKAWA ANAONGOZWA 49 -31... ODDS ZA BARRAKA BULL ZIKAWA 5...NKAWEKA BUKU KWA UOGA...NA AKASHINDA ..... JAPO KIDOGO KAHASARA KA WAAUSTARLIA KAMERUDIPO...

Mmmh watu mna roohoo .. ..mm hata unipe nn nisengejaribu kufanya hiyo risk
 
YAANI KUNA LITIMU NIMELIPA OVER164.5 eti yameishia 164 net.... point moja tu inaninyina pesa aseeeee......
 
YAANI KUNA LITIMU NIMELIPA OVER164.5 eti yameishia 164 net.... point moja tu inaninyina pesa aseeeee......

Hizo ni za kawaida sana kwenye kamali ya kikapu! Hafu unakuta dkk za kati walikuwa wanascore sana, ila ukisha place bet tu spidi inapungua.
 
Back
Top Bottom