Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mechi ya NIGERIA MBONA HAIPO LIVE IN PLAY ASEEE.......MERIDIAN..... YAANI NGEWEKA HATA LAKI....SOUTH ANAKUFA.....
 
Nilisemaa kundi la uganda.... Kila mtu anapita.... Haya sasa uganda ndio vile tena baba jeni baiiibaiiii ....... Algeria ..mlitamani point kakalishwa besenga..... Vilio kwenda front....yaani ikatokea na nigeria kakalishwa uwiiiiiii.......
 
kikapu ni wasengerema sana...EUROPA CHALLENGE....PAOK..... QUARTER YA KWANZA 44..YA PILI 42...YA TATU NIMEWAPA OVER 36.5 ETI WAMEISHIA 36 DUH..... KIKAPU NI NOMA SANA .....SICHEZI TENA KIKAPU ZAIDI YA NBA....DUH
 
Hiyo game nimecheza quarter 2 over 35! Q3 internet ikanizingua, ningeliwa hela yote.

Hizi game ziko very unpredictable. Kikapu cha NBA nacho kinazinguaga hivi hivi.
 
hamna kukata tamaaa..... nilipigwa mzeeeee nkabaki na 700 kwenye accont..... nimeshinda usiku kucha baada ya mechi ya southafrica..... nkaona vikapu nba kuna mechi 8 ....nkasema hawa hawa leo nnao..... 700 ikaleta 3800 ....2000 nkafanya mtaji.... namsubiri lakers hawezi fikisha 60 kota ya mwisho..... 700 imezaa mpaka 10500....
 
Attachments

  • 2014-11-20--06_31_57.jpg
    2014-11-20--06_31_57.jpg
    15.9 KB · Views: 83
  • 2014-11-20--06_33_17.jpg
    2014-11-20--06_33_17.jpg
    13.3 KB · Views: 79
  • 2014-11-20--06_34_38.jpg
    2014-11-20--06_34_38.jpg
    14.5 KB · Views: 79
  • 2014-11-20--07_36_31.jpg
    2014-11-20--07_36_31.jpg
    13.2 KB · Views: 76
Back
Top Bottom