Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimekoma...... timu za ASIA hizi bana hazitabiriki.... duh...point 2 zimeninyima pesa..... from 25 to 15 game mbili tu du..... hapa ni kusubiri WANYAMWEZI NIRUDISHE VYANGU
 
Attachments

  • 2014-11-20--13_33_56.jpg
    2014-11-20--13_33_56.jpg
    11.1 KB · Views: 107
nimekoma...... timu za ASIA hizi bana hazitabiriki.... duh...point 2 zimeninyima pesa..... from 25 to 15 game mbili tu du..... hapa ni kusubiri WANYAMWEZI NIRUDISHE VYANGU

Mimi hiyo game nimeweka under 48 quarter 4

Bet BB.jpg
 
Attachments

  • BB.jpg
    BB.jpg
    10.4 KB · Views: 91
  • BB.jpg
    BB.jpg
    19.7 KB · Views: 91
Jamaa wanakuacha uwasome kwanza, ukishawasoma wanakubadilikia. Hebu tazama hapa kama ungefikiria kuweka under jinsi walivyopiga quarter ya mwisho!

Bet Basket.jpg
 
View attachment 204126

UNGESE HUU..... HATA 24 HAWAFIKI AFU MWISHO WANAKUPIGA KNOCKOUT YA HAJA........ SEOUL NILIWA UNDER 155 .....DUH...YA 1 (39) YA PILI (53) ...YA TATU (37)....kwa hii rate nkajua tu nimepigwa .....nkacheza tena ili zijiconcil quarter ya mwisho...over 36... shaaaaaaa wameishia 26..... nkaliwa ya quarter ya mwisho ya under ikatiki aseeee...... NILISEMA NISUBIRI WANYAMWEZI...... NKACHEZA..KHAAAAA........ HIZI LIGI ZA AJABU HAZIELEWEKI
 
Wanyamwezi kuna game 2 tu asubuhi na bado hazijapewa odds mpaka sasa.
 
Nimch0m0e nani hapo!

Brentford

Heiderf0rm,

Djon GFCO,

Bochum,

Kaiserlautern,

Paris Fc.
 
Yan nataman ngeweka zaidi aseeee!! Ila sio mbaya.....some day soon napost kama million tatu hv😎
 
Attachments

  • 1416537228942.jpg
    1416537228942.jpg
    42.2 KB · Views: 118
mnyamwezi LA CLIPPERS keshaniingizia mkwanja.....nasubiri mnyamwezo chicago nae afanye yake..... ata mbuyu ulianza kama karanga... usitamani pesa ndefu halafu unaliwa..... kwani 1000 ukaongiza 3000 ...unahasara gani.... mechi 2 zikiisha...unachagua mbili zingine.....mdogo mdogo.... ukifanikiwa kula 3000 mara3 kwa siku ni 9000 .... kwa mwezi 270000 zaidi ya mshahara wa mtumishi ......
 
sacramento na chicago hawajawahi kufika 198... mechi 7 H2H zilizopita leo wakifika wananichukua....
 
Sacramento ni wabaya kaka, tena usiwadhanie msimu huu wanatisha! Labda tu Chicago afunge chache kwa sababu Derick Rose na Paul Gasol wako bench.
 
QUARTER YA 1 ...NDIO IMEHARIBU WAMEFIKA 51 ...ZINGNIE ZOTE WAMEENDA 49 AMBAZO X4= 196 INGEKUWA UNDER...197. NA NILISHAWAPIGIA HIZO HESABU...... SASA ZILE 2 ZA ziada quarter ya 1..... ndio inaharibu utaratibu....
 
Jamani😢😢😢😢😢😢😢😢
Mtaji unakata.....
 
Attachments

  • 1416548739025.jpg
    1416548739025.jpg
    61.2 KB · Views: 84
QUARTER YA 1 ...NDIO IMEHARIBU WAMEFIKA 51 ...ZINGNIE ZOTE WAMEENDA 49 AMBAZO X4= 196 INGEKUWA UNDER...197. NA NILISHAWAPIGIA HIZO HESABU...... SASA ZILE 2 ZA ziada quarter ya 1..... ndio inaharibu utaratibu....

Sacramento wameslow down quarter 4, unaweza kula.

Mimi nimecheza over 48 quarter 2 wakaishia 48. Nikarudisha kwa quarter 3 niliweka Sacramento win.

Kuna muda nilitaka kuwapa Sacramento over 100 Meridian wakazingua, naangalia hapa ingekuwaje.
 
QUARTER YA 1 ...NDIO IMEHARIBU WAMEFIKA 51 ...ZINGNIE ZOTE WAMEENDA 49 AMBAZO X4= 196 INGEKUWA UNDER...197. NA NILISHAWAPIGIA HIZO HESABU...... SASA ZILE 2 ZA ziada quarter ya 1..... ndio inaharibu utaratibu....

Hongera man.

Ila Meridian nawamind kinoma mtandao wao, imenikosesha mpunga wa q4 (Sacr win) na Sacramento score more than 100.

Tujipange kwa kesho NBA na ligi.
 
Mbona mtandao hauna shida labda internet yako na hao uliojiunga nao
 
Third quarter katikati mpaka 4th quarter yote inaisha website ilizingua, nikisubmit ticket ilikuwa inasema "no shift". Nimebadili internet provider kama watatu bado ikawa hivyo hivyo. Saa hizi ndo naona iko powa.
 
Back
Top Bottom