Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwakani inabidi tuje na njia mpya vinginevyo mmmmh. Sijamaliza hata mwaka kwenye betting ila yaliyonikuta ni makubwaaaaa
 
Mwakani inabidi tuje na njia mpya vinginevyo mmmmh. Sijamaliza hata mwaka kwenye betting ila yaliyonikuta ni makubwaaaaa

Kuna mbinu ya timu moja moja aliitaa mkuu mmoja anaitwa uaminifukazi post no 8210, nadhani hii inaweza kuwa mwafaka sana.

Hii nadhani italipa, harafu sio lazima kila siku ubet. Mara 1 au 2 kwa wiki inatosha! Na unaweka bet pale tu unapokuwa umejiridhisha mara kadhaa kwamba hiyo ni sahihi.
 
Last edited by a moderator:
jamani msaada jinsi ya ku deposit hela meridian via m-pesa hapa najua namba yao ya biashara tu kwingine sielewi nafanyaje
 
jamani msaada jinsi ya ku deposit hela meridian via m-pesa hapa najua namba yao ya biashara tu kwingine sielewi nafanyaje

1 bonyeze za 4 lipia kw mpesa. 2 bonyeza 4 weka no ya biashara. 3 weka ID no yako uliyopewa.bele siunaelewa.
 
Kuna mbinu ya timu moja moja aliitaa mkuu mmoja anaitwa uaminifukazi post no 8210, nadhani hii inaweza kuwa mwafaka sana.

Hii nadhani italipa, harafu sio lazima kila siku ubet. Mara 1 au 2 kwa wiki inatosha! Na unaweka bet pale tu unapokuwa umejiridhisha mara kadhaa kwamba hiyo ni sahihi.

Mkuu umenena sawa.
Mimi jana nimeanza hivyo nikapigwa tena vibaya sana 94000 zikaenda Chelsea alishindwa funga goli la tatu.
Ila nimejipanga nataka niwe natafuta odds 5 tu naweka 200,000.
Naanza 26 maana odds tayari zimefika 10 kwa epl pekee hapo naweka 100,000.
Huu mtindo wa kuweka 500 ukitegemea milioni mhindi anakula sana hizo 500 zetu
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimejipanga sasa kila week niingize atleast milioni na kuendelea. Nikishawapiga mara mbili naanza cheza milioni milioni tu tena vitimu viwili pekee

Kweli tatizo nitamaa kila siku tunalia game m1 imeniangusha,mie wamenipiga sana ila mwakani nakuja na mbinu mpya naweka mtonyo mrefu,game maximum 5,home tm nampa priority afu michezo yote nacheza double chance 1x...kama nayenyewe itagoma basi nastaafu.
 
Mkuu umenena sawa.
Mimi jana nimeanza hivyo nikapigwa tena vibaya sana 94000 zikaenda Chelsea alishindwa funga goli la tatu.
Ila nimejipanga nataka niwe natafuta odds 5 tu naweka 200,000.
Naanza 26 maana odds tayari zimefika 10 kwa epl pekee hapo naweka 100,000.
Huu mtindo wa kuweka 500 ukitegemea milioni mhindi anakula sana hizo 500 zetu

Pia kushare information mapema ni muhimu, mfano hizo odds 10 ungezitupia hapa, huwezi jua watu tunaweza kukueleza toa hii weka hii.

Kuna watu kama Rockcity native, Mtoto wa nzi na wengineo ambao wako active kutoa views zao juu ya mikeka inayowekwa mapema. Tushirikiane hata kwa kaisi kidogo tu.
 
Last edited by a moderator:
Raimundo
Umenena vyema aisee
Nitakuwa natupia mikeka humu ili baadae tuweke timu zenye possible.
Naanza hivi
Liverpool
Southampton
Totternham
Swansea
Everton. Odds ziko 24.3 naweka 50000 tu kwa kuanzia
 
Last edited by a moderator:
RaimundoUmenena vyema aiseeNitakuwa natupia mikeka humu ili baadae tuweke timu zenye possible.Naanza hiviLiverpoolSouthamptonTotternhamSwanseaEverton. Odds ziko 24.3 naweka 50000 tu kwa kuanzia
Mkuu timu tano kuzipa ushindi zote ni ngumu sana, jaribu kuwafikiria mara mbili mbili watu kama Everton na Southampton hata uwape double chances. Swansea pia kumpiga Astonvila sio easy mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom