Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau hzi mechi za nyumbani znakaaje?
weka under 2.5 zote, wabongo huwa hatufungani magoli mengi,
au 0-3 , lazima ule ela
wakuu leo uzi wetu umefikisha mwaka,,,, kwa maana hiyo leo kula lazma.... chelsea,asenal na man u
wakuu leo uzi wetu umefikisha mwaka,,,, kwa maana hiyo leo kula lazma.... chelsea,asenal na man u
Hapa mtu ambaye na wasiwasi nae ni Bournemouth na port tuuu
Mkeka wangu wa leo huo...
Chelsea - West Ham
Chelsea Win
Manchester Utd - Newcastle
Manchester Utd Win
Sunderland - Hull City
Sunderland Win
Swansea - Aston Villa
Swansea Win
West Brom - Manchester City
West Brom Lose
Arsenal - Qpr
Arsenal Win
Crystal Palace - Southampton
Crystal Palace Lose
Genclerbirligi - Galatasaray
Genclerbirligi Lose
galatasary akubal kufungwa.
Walirekebisha.....ila leo game ni moja tu...Simba vs Kagera hizo zingine kesho!!odds nzuri sana aisee...Kumbe za ligi ya Tz walirekebisha
.,,
kuna wakati nakula za uso hadi kubeti tena sina hamu, najua nitakula za uso tu:sick:Dah jamani leo naomba timu zote
Sinderland
Chelsea
Man city
Arsenal
Totternham
Southampton
Everton
Swansea zote zishinde
Maana hata moja ikiharibu baaasi nafunga mwaka vibaya sana