Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

daaaaaaah yan muhindi kachukua tena hela yake yooote niliyo pata juzi yan man utd kaharibu kila kituuuuu😞😞😞😞😞
 
daaaaaaah yan muhindi kachukua tena hela yake yooote niliyo pata juzi yan man utd kaharibu kila kituuuuu😞😞😞😞😞

Pole mkuu mi mwenyewe nimemrudishia mzungu dola 45 zote .
 
yaaan niltegemea chelsea ata nipa hata hela ya new year duuuh😞😞😞😞
 
Dah hadi Man city jamani yaani mnaongoza mnapigwa, daaah bora Chelsea katoa draw. Ila leo nimepigwa za uso nyingi sana
Mwaka umeisha kwa kuliwa sana. New Year lazima niwale tena natafuta odds 10 tu za laki moja baaaasi
 
yan hiz tim kubwa zaki puuz sana...
 
yaaaaan hapa nasubir kubetia madrid,bayern munich pamoja na dortmund maana najua atarud mzima na atakua anaekewa odds nyingi pamoja na serie B ya italia.....hapo ndio patakua center pa ku betia kwangu naona england wana zingua sana
 
Man u - Ms-e-n-g-e- kweliiiiii.... Nilikuwa nimesha anza kupiga bajeti ya mwaka mpya. Nilikuwa napga laki 430.
 
HAYA HAYAAAA MKEKA WA TAR 26 KWENYE MABANO NI NAFASI ZAO HUSIKA KWENYE LIGI
LEAGUE ONE
BRISTOL CITY(1) Vs YEOVIL TOWN(22) - 1 (1.7)
LEAGUE TWO
BURTON ALBION(4) Vs TRANMERE(23) - 1 (2.1)
CONFERENCE PREMIERE
ALDERSHOT(18) Vs BARNET(1) - 2 (2.1)
PREMIER LEAGUE
BURNLEY(18) Vs LIVERPOOL(10) - 2 (1.8)

TOTAL ODDS 13.4946

HAYAAAA HAYAAAA WAKUBWA.....

Saa hizi ndo nafanya tathmini ya huu mkeka. Hela ilinipita hii!
 
Back
Top Bottom