Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu juzi (friday) nimesuka mikeka nilisuka mikeka 10 ikachanika yote...hakuna cha man city, man u au chelsea...yoote majanga. muhindi alichekeleaje!
 
wakuu juzi (friday) nimesuka mikeka nilisuka mikeka 10 ikachanika yote...hakuna cha man city, man u au chelsea...yoote majanga. muhindi alichekeleaje!

Duh sio kwako tu hata kwangu pia yaani nilipatia matokeo ya man u na stoke city ila game zote za draw kasoro ile ya newcastle sikuichagua lakini m-bet wakala buku 3 na jero!
 
Ahaaa kaka ukiogopa ogopa lazima uliwe manake unachodhani hakitoweza kutokea ndicho kitakachotokea just do it !

Nimejifunza kuhave faith punde tu. Ninaamini bett yangu ya tatu nitapata milioni kumi. Amen!!

Naanza sasa!
 
Yaani kwa kweli ..wengine bahati zetu zipo mbinguni,,,tufe tu.....nimekuwa very versatile (nabadilika badilika ) lakini wapi.... nimecheza AMERICAN FOOTBAL KAUA MMOJA... NIMECHEZA KIKAPU NIMEPIGWA...NIMERUDI SOKA... 28+ SPORTING ANAFUNGA DAKIKA YA 5 anaua mkeka....afu alibaki peke yake...aseeeee am.foot.png28+.pngkikapu.png
 
kama kawa NI KANYAMBULIKA TU...unapigwa huku unakimbilia kule..... nimeenda HOCKEY ......hockey.png
 
Pesaaaaaaaaa
 
Attachments

  • 1419934401796.jpg
    1419934401796.jpg
    35.1 KB · Views: 110
  • 1419934420517.jpg
    1419934420517.jpg
    9.4 KB · Views: 94
Back
Top Bottom