Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo
Real
Valencia
Villa
Braga
Marseille
Lille
Natupia 50,000 inakuja milioni na uchafu.
Jana juve na ever wamenikosesha 2.5k

A.o.k. Kerkyra - Paok4.99A.o.k. Kerkyra WinJan 7, 2015 - 6:10 pm
Pas Giannina - Apollon 19261.41Pas Giannina WinJan 7, 2015 - 6:10 pm
Sc Braga - Belenenses1.46Sc Braga WinJan 7, 2015 - 9:55 pm
Nimeweka 5000. Napata 50000. M-BET kazi ni kwako

Naenda jilipua soon kwa 50000 wafe wao au mimi

Kila la kheri wazee wenzangu..
 
Paok-Draw
Valencia-win
Preston-win
Gateshed-draw
Almeria-win
Lille-win

Na leo waniharibie tena.
 
Wakuu hebu nifafanulieni hiyo mechi ya kwanza.

Mechi iliisha kwa san antonio spurs kufungwa 104 kwa 106

Maana handicap zinazingua, mara ukute margin wamekuwekea positive number, mara negative number
 

Attachments

  • 1420651509272.jpg
    1420651509272.jpg
    23 KB · Views: 159
Villa &lile ni mamaku kweli....washa haribu siku wase..#..e!
 
haka kamchezo katamu kula tuu ila kuliwa lazima povu likutoke... pole tujaribu tena

Leo nimepunzika kuuzunika mkuu....nimekula kwa lile,braga,vila nasubili tu sporting amalize hapa mhindi aumie yeye leo...madrid nilimkataa kama timu ya asernal tarehe 1
 
Dah asante atl. Madrid, vilareal, braga, valencia, sporting na lile kwa kunipatia hela ya chai leo
 
Back
Top Bottom