Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Madrid kanikosesha mahela. Dah kuanzia leo siamini timu tena. Chelsea, Barca, Madrid siwaamini tena mmekuwa mkiniangusha pale nisipotegemea kuangushwa
 
Dah asante atl. Madrid, vilareal, braga, valencia, sporting na lile kwa kunipatia hela ya chai leo

Nilivyoona ile post yako ya kwanza nikajisemea napita humu humu alifu nikaongeza na olympiacos na PAS Ginian mambo yakawa safi kabisa
 
Jamani leo wekeni mikeka maana jana Madrid kanikosesha mahela
 
Jamani leo wekeni mikeka maana jana Madrid kanikosesha mahela

Mkuu mechi ya jana ya madrid ilikuwa ngumu sana. Nilikuwa nashangaa ujasiri wa watu kuipa ushindi madrid wameutoa wapi. Jana wabashiri wengi walitabiri 0-2
 
Leo kwa upande wangu Granada na sevilla nampa sevilla win bcoz Granada kwenye game 8 zake za home kaambulia point 7 tu huku akipoteza point 17 hii n ligi wakati sevilla game 7 za away kapata point 12 na kupoteza 9 hivyo nampa sevilla win kutoka na na Granada kuwa si mzuri akiwa home

Barcelona win again elche

Maritimo na Nacional
Maritimo win bcoz kwenye game 7 alizocheza Nacional away kwenye ligi kapata point 1

Xanthi na zakynthos Greece cup
Xanthi win bcoz ktk mechi 8 alizocheza home kashinda 6 na droo 2.
Huu ndiyo mkeka wangu wa leo na hizo ndiyo sababu.
 
Nilikuwa nimeacha kubet football, nakaribia kurudi sasa!
 
Barcelona Win
Granada Cf lose
Maritimo Win
Panaitolikos Win
Chania Lose

Mimi leo nimeanguka hivyo
 
Hapo kwenye over na under ndiyo inakuwaje maana leo nimetaka kujaribu lkn over na under zikanichanganya nikapotezea

Kwamfano kwenye basketball angalie trend za magoli kwa kipinda cha kwanza then unaweza kubashiri over/under.. mara nyingi vipindi vinavyokuwa na magoli mengi ni cha kwanza na nne... So utakuta wameandika labda 150 OU O 1.78 U 2 so hapo unachagua kama ni over points ndo hizo mbili na kama hawatafunga zaidi ya 150 Under ni 1.78.. Hii ni rahisi sana kula kuliko kubashiri matokea kati ya stock city na sunderland
 
Back
Top Bottom