Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani tuacheni utani hebu nikosoeni kidogo hapa
 

Attachments

  • 1421737601281.jpg
    1421737601281.jpg
    69.7 KB · Views: 173
Leo muhindi nimempa za uso mpaka nikamwonea huruma.. Hii mechi ya Houston Rockets naishia HT.. Tutakutana saa 12 kwa Lakers pamoja na Portland.. Hamieni Basketball jamani huko soccer muhindi atawala mpaka nywele haha

mkuu kwema? nimeku pm mkuu....
 
Game ya Chelsea vs Liverpool.

Weka goal in both halves

both team to score

Na3+
 
Game ya Chelsea vs Liverpool.

Weka goal in both halves

both team to score
over 2.5
 
kwenye multbet kwa mfano ukiweka timu 20 then ukaweka ile 10/20 INA maana ukipatia timu kumi kati ya 20 umeshinda?

na zinachaguliwa timu zipi sasa?
 
Rahim _baharia hivi hizi odd za iplay mbona ndogo hivi? eti 0.97 maana Yake nini
 
Last edited by a moderator:
0.97 ni kiasi utachakula ukiondoa kiasi ulicho bet, mfano ukiweka 10,000 kwa odd ya 0.97 inamaana utakula 9,700, ukijumlisha na ya kwako inakuwa 19,700.

Kwa Meridian ingesoma 1.97.


got u bro,na multbet inakuwaje
 
wanaotaka kucheza basket fuata maelezo ayo

Wazee wenzangu, muwe
mnacheza Basketball Live in
play, ukiwa mjanja ukosi
50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke
mkeka mpaka mechi ifike
quarter ya pili 2/4 then
chukua matokeo ya timu
zote mbili jumlisha na kisha
toa the amount of total then
dived by 2 utajua uweke
kwenye over/under....
Mfano
currently points is Over 160
and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40
therefore the total points is
85 (45+40)
then chukua 160-85= 75
75 means the total points
zilizobaki kufika 160, then
chukua 75 gawa kwa 2
(75/2)=37.5 hii inamaana
kama vipindi viwili vya
mwanzo waliweza kufungana
points 45 kwa 40 basi its
possible vipindi viwili vya
mwisho pia wanaweza
fungana zaidi ya 37.5 points,
ivyo weka Over 160 odd sio
chini ya 1.80
 
Nimejiunga na iplay8casino tena nikadeposit dola 2 lakini mbona sijapewa hyo bonus ya dola 8 ?
 
Yaaani yaliyo nitoke j.mos na leo yameanza asubuhi....
Iraq bhana
 

Attachments

  • 1421753040880.jpg
    1421753040880.jpg
    68.8 KB · Views: 181
kwenye multbet kwa mfano ukiweka timu 20 then ukaweka ile 10/20 INA maana ukipatia timu kumi kati ya 20 umeshinda?

na zinachaguliwa timu zipi sasa?

Hii option mbona ni nzuri kama ndo ivyo mie nilikuwa siielewi kwamanahiyo ukitupia game 15 ukakosea 5 unapiga mtonyo?coz mie mikeka yangu mie game tatu hadi 4 ndo huwa zinaniangusha sa naona hapa ndo ntaponea.
 
Back
Top Bottom