Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah jamani huu mchezo mimi naona hizi siku kama nimefeli. Yaani nimetoka 188$ hadi 1$
Dah ila sitaacha huu mchezo lazima siku moja nitawapiga nyingi sana.
Leo napo ni siku tusikate tamaa

Pole sana mkuu Mimi kwa upande wangu huu mwaka nimeanza vizuri kila week lazima nimfanyie kitu mbaya mhindii
 
kuna mtu katoa mpunga wiki hii kule meridian?

toka Jana asubuhi mpunga haujaja
 
jaman ukutoa pesa meridian with M-PESA inachukua muda gan maana nmetoa ina sku 2 au n kwangu tu
 
Wadau sure wins za leo. Nmeliwa sana week hii nataka kurudisha hela yangu.
 
Football imekua ngumu sana , now days nipo irk horse racing na weather forecast bettings
 
Pole sana mkuu Mimi kwa upande wangu huu mwaka nimeanza vizuri kila week lazima nimfanyie kitu mbaya mhindii

Mkuu nielekeze,ukishatuma pesa kwa mpesa kwenda meridian what happens after that?

Manake sijui what is next...nataka nijitupe na mimi
 
Mkuu nielekeze,ukishatuma pesa kwa mpesa kwenda meridian what happens after that?

Manake sijui what is next...nataka nijitupe na mimi

Ukishatuma subiri salio lako litaongezeka kwenye akaunti yako ya Meridian...then utaanza kubet...Meridian wana app yao kwenye play store.
 
Ukishatuma subiri salio lako litaongezeka kwenye akaunti yako ya Meridian...then utaanza kubet...Meridian wana app yao kwenye play store.

Lakini si unaweza ku bet kwenye website?

And katika ku bet unatakiwa kubet masaa mangapi kabla ya mechi?
 
Lakini si unaweza ku bet kwenye website?

And katika ku bet unatakiwa kubet masaa mangapi kabla ya mechi?

Yap,hata website sawa tu..

Muda wa kubet cheki maelezo yao namba 10..
 
Attachments

  • 1421849124102.jpg
    1421849124102.jpg
    99.4 KB · Views: 175
😃😀😃😀 vipi hapo
Anthen
Barcelona
Fiorentina
Psg
Monaco
5000
 
Back
Top Bottom