Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu yakub umeongea la maana, hiyo ligi inaongoza kwa droo, yani mtu ungekua na uhakika wa mechi ipi itatoa droo kiukweli kweli unabet hata mbili tu maana droo nayo kupata ni mtihani..
mkuu yakub umeongea la maana, hiyo ligi inaongoza kwa droo, yani mtu ungekua na uhakika wa mechi ipi itatoa droo kiukweli kweli unabet hata mbili tu maana droo nayo kupata ni mtihani..
Pia ni league nzuri kwa wale wanaopenda kuBet kwenye kipengere cha "Suluhu ya first half" yaani 45.
leo wadau vipi hii
MARSEILLE WIN
FC PORTO WIN
FC OSS WIN
FC VOLENDAM WIN
FC EIDHOVEN WIN
BORUSIO DORTMUND WIN ODDS 5.11 IPI NIITOE?
Jana ashababu pekeyao ndowaharibu shughuli,..walidraw 2-2
Jana ashababu pekeyao ndowaharibu shughuli,..walidraw 2-2😓😓
Unachagua vile upundavyo ww,.meridian inafanya unachotaka.
unatumia kifaa gani
Natumia cm iPhone
Ukihitaji kucheza michezo ya ziada katika mechi fulani, basi yakupasa kubofya / kubonyeza mechi husika ndipo zitatokea options / machaguo ya ziada.