Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimechambua kwa kina game za leo nimeamua kuweka hivi, unaweza kuedit kwa namna upendavyo

1mkeka[1].jpg
 
yakub yusuf
Dynamo moscow-win
Besiktas- win 1st half
Dynamo kyiv-win
Ajax -win
Athletico bilbao -win
Feyenoord vs Roma- draw

Ushauri wadau,japo nipone kipigo nipewacho daily.
 
Last edited by a moderator:

Hapo huyo Roma mpe doubl chanc kulko hyo drow kavu nyengne hyo ya liver mech ngumu sn napata hofu besiktas kushinda mpk HT na huyo Ajax huwa mbovu sn akiwa ugenn lbd hapo kwa Ajax muweke Inter na hapo kwa besiktas muweke Brugge kuongoza HT
 
Shukrani mkuu. hapo kwenye bold pananipa utata kupatambua kupitia premier betting as meridian naona ina utata kwangu kwa online. Please nieleweshe tafadhari.
 
LEO nmetengeneza mikeka 10 km mzungu ataweza kuruka yote hii bac na mm ntajpa likizo ya wik1 bla malpo kuanzi kesho.mtoto wa NZI na me nko nijian nakuja kaka niandalie sehem kbs ya kufikia.
 
:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Shukrani mkuu. hapo kwenye bold pananipa utata kupatambua kupitia premier betting as meridian naona ina utata kwangu kwa online. Please nieleweshe tafadhari.

Me nmeacha mda kdg kubet premier lkn ckumbuk km unaweza kuchanganya timu hvyo labda tusubr wadau watusaidie zaid kwenye hlo.
 
LEO nmetengeneza mikeka 10 km mzungu ataweza kuruka yote hii bac na mm ntajpa likizo ya wik1 bla malpo kuanzi kesho.mtoto wa NZI na me nko nijian nakuja kaka niandalie sehem kbs ya kufikia.
Mkuu kavp fanya kuitupia maana hamna-hamna hata kianzio tutapata nasie.
 
Back
Top Bottom