Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 602
- 268
Tafuta playstore apk inaitwa dolphin browser hutojutia mkuu Hiyo inauwezo wa kuplay tv online
Natumia dolphin lakn hakuna tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta playstore apk inaitwa dolphin browser hutojutia mkuu Hiyo inauwezo wa kuplay tv online
mkuu kumbe umechukua likizo ya soka tu?
Anayetaka mkeka wa uakika kwa gemu za leo anitafte atanipa ata vocha.
Nipo kanda ya ziwa kama wewe, mbona mie inafunguka poa laptop?Mkuu mm tangu juzi haifunguki kabisa au sisi huku kanda ya ziwa ndio shida
Nipo kanda ya ziwa kama wewe, mbona mie inafunguka poa laptop?
Natumia web, ingawa namie nina changamoto siko familiar kivile mwishowe naishia kwenda panga foleni za premier betting.Kwenye app au Web mkuu?
Raimundo
Dynamo kiv win
Dynamo Moscow win
Hapa nmeangalia jinc mech zlzo pia ilikuwaje hao Moscow walitoka sare ya 0-0 wkt mchezaj wao mmoja alionyeshwa kad nyekundu wakiwa ugenn leo wako hom wana nafac kubwa ya kushinda.Na hao Kiv wao walfungwa 2-1 lkn wachezaj wao wawil walionyeshwa kad nyekundu na kabla hawaja tolewa hao wachezaj wawil walikuwa wanaongoza wao kwahyo leo wako na nafac kubwa pia ya kushinda.
Weka dinamo kiev win&dinamo moscow win weka elf 50 then mpe club brugge win na b juniors win elf 50.kesho unifuate pm kwa japo voucher
Yaani nimechelewa,
nilijua game ni za saa tano. Haya mambo ya kutumia laptop yanasumbua,
simu yangu imekufa kwa hiyo info zinanipita aisee.
Ila hakijaharibika kitu, ngoja nione natokaje game za saa tano,
nikishindwa nisubirie tu game zangu za NBA!
Mkuu, hii nimechelewa kuiona, nilijua game zinaanza saa tano! Naona D Moscow kashamaliza mchezo! Na Kiev mambo siyo mabaya!
Ngoja niangalie angalie game za saa tano hapa
yakub yusuf, Ajax tuliyemdharau kafanya mambo.
INTER nae ametoks suluhu, kifupi amechana mikeka yangu yote. Sitorudia kuziamini team za Italy.Aisee yan katoa kwa uhakika kbs bla chenga
INTER nae ametoks
suluhu, kifupi amechana mikeka yangu yote. Sitorudia kuziamini team za
Italy.
Hapo weka
Inter win
Napol win
Club Brugge win
B juniors win weka hata 20 jibu ltakuja
pole sana mzee mwenzangu hizi game zilikua nyeupe sana