yakub yusuf
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 319
- 86
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Handcap ya baskball n km kwenye soka tu sema wenyewe point huwa nying mfano ukikuta (-5.5H) hii inamaana wa nyumban anadaiwa hzo gol kwahyo ushndi wake n gep ya gol6 na kuendelea.
Nazisubiri kwa hamu sana hizo tip kaka. Maana nataka niwe multi bettor kuliko kutegemea sehemu moja tuu.Ngoma imebuma, imeenda mpaka Overtime lakini Phoenix Suns wamekomaa na kushinda game!
Ilibidi niipandie kwa Over ilikulinda hata nusu ya mtaji!
Tukutane kesho tena Alfajiri NBA.
Nitaweka tip hapa!
Mtoto wa nzi game ya Cavs vs GSW imeekuwa under, game ya OKC vs Suns Over!
Nazisubiri kwa hamu sana hizo tip kaka. Maana nataka niwe multi bettor kuliko kutegemea sehemu moja tuu.
Majinga sana first quarter wamefungana 40... nkajuaa aaargh ningepiga mzigo ...duh...mara 61...mara 63...duh.... ya mwisho 48.... wakatoa droo 109-109.... nimeicheki...Ngoma imebuma, imeenda mpaka Overtime lakini Phoenix Suns wamekomaa na kushinda game!
Ilibidi niipandie kwa Over ilikulinda hata nusu ya mtaji!
Tukutane kesho tena Alfajiri NBA.
Nitaweka tip hapa!
Mtoto wa nzi game ya Cavs vs GSW imeekuwa under, game ya OKC vs Suns Over!
Majinga sana first quarter wamefungana 40... nkajuaa aaargh ningepiga mzigo ...duh...mara 61...mara 63...duh.... ya mwisho 48.... wakatoa droo 109-109.... nimeicheki...
Alishinda kwa mbinde sana hadi nikamkatia tamaa, pamoja nae kushinda lakini kuna wapuuzi wengine Athletic bilbao na olympiakos wamenifaya vibaya. ila ZAIDI NINAVYO LIWA, ZAIDI NAENDELEA KUWA SUGU NA FUNDI. KUNA SIKU MZUNGU ATAKAA TU.Inter kashinda kaka