Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yoyote ile mkuu.. Ila kubet ni kwanzia mia.
Cna hamu na marsseile... Simpi tena...
Muhindi wa Premier Betting anamdharau Schalke 04.......kampa pointi 7
Hata mimi kaniuziiiiiiii
Hiyo mech cku jihucsha nayo kbs leo kwan kla nlvyo iangalia naona waz kuna suluhu au Schalke kushnda.
Shukrani mkuu , nitaleta merjesho zikiisha. Ninajaribu kucheza na probability ku minimize chance ya kukosa. Hinyo seti yoyote hapo ikitoa droo tu nimeliwa.Hyo iko poa ila kuomba dua zaid n sehem mbil kwa nionavyo mm,1)W B A hyo mech kuna % kubwa kutoka suluhu na hyo ya LILE pia hvyhvy ila mkeka umekaa poa sn na aidia nzur ulio tumia
Biashara ishaingia kirusi
Kama mtaji unasoma unatupia kwa Shalke 04 double chansi 2.56 odd!
Ukiweka laki una faida ya laki na nusu.