mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Let me rest for a while, betting is only saturday, sundays have never so good to me
Mkuu unatukatisha tamaa sasa .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let me rest for a while, betting is only saturday, sundays have never so good to me
Jamani niombeeni...nahitaji iyo draw ya Atletico niue.
Mkuu hongera
mie Napoli peke yalke katika timu 5. kanichamia
Hahaha...kweli Mungu anakazi, yaani mie wakati naomba Inter wasawazishe we ulikuwa unaomba mpira uishe duh..
Juzi Malaga nae kanichania
Hahaha...kweli Mungu anakazi, yaani mie wakati naomba Inter wasawazishe we ulikuwa unaomba mpira uishe duh..
LEO HIYOO..
JUVENTUS WIN
LAZIO GG
RIJEKA WIN
NEC NIJMEGEN WIN SPORTING CP WIN
MAN UTD GG... nasubir mida mida jion nikitoka kazn nikatupie hiyoo.. ck njema wadau..
Hii hata me ndio ilikuwa plan yangu huu uko vzr sn
Mkuu unatukatisha tamaa sasa .....
halftime/fulltime maarufu kama NGUMU KUMEZA ipo hivi 1(1/1) team mwenyeji aongoze kipindi cha kwanza hadi kipindi cha pili mechi inaisha mwenyeji anashnda.... 2(1/x) team mwenyej anaongoza kipind cha kwanza tu ikifika kipind cha pili team ya ugenin inasawazisha na mechi inaisha kwa sare... 3(1/2) team mwenyeji anaongoza first half halafu kipind cha pili team ya ugenin itasawazisha na kushinda mechi..... 4(x/1) kipindi cha kwanza droo kipind cha pili team mwenyej anashnda..! 5(x/x) kipindi cha kwanza droo na kipindi cha pili droo mech inaisha sare... 6(x/2) kipind cha kwanza sare kipind cha pili team ya ugenin inashndaa.....! 7(2/1) team ya ugenin itaongoza first half halaf kipnd ch pil team mwenyej anasawazsha na kushnda mech.. 8(2/x) team y ugenin itaongoz first half kipind ch pil4 team mwenyej anasawazsha mech inaisha sare.. 9(2/2) team ya ugenin kuongoza mwanzo mwishooo