Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Coventry (+1) - Bradford
4.04
Draw
Mar 10, 2015 - 10:40 pm
Fc Porto - (+1) Fc Basel 1893
3.50
Draw
Mar 10, 2015 - 10:40 pm
Reading - (+1) Brighton
4.04
Draw
Mar 10, 2015 - 10:55 pm

apo vp wadau?

kila lililo la herii mkuu
 
Coventry (+1) - Bradford
4.04
Draw
Mar 10, 2015 - 10:40 pm
Fc Porto - (+1) Fc Basel 1893
3.50
Draw
Mar 10, 2015 - 10:40 pm
Reading - (+1) Brighton
4.04
Draw
Mar 10, 2015 - 10:55 pm

apo vp wadau?

braza hakuna usalama hapo
 
Kuanzia leo real madrid man u roma sitakuja kuwaweka ktk mikeka yangu
 
Amka ndugu yangu nshapata loss ya 100000 bado tu unawaamini?madrid ni wa kuruhusu 3 goals kwa timu kama schalke?

Mkuuu kweli unayosema.
Mie nimestaaff kumuwekea maana odds zake chache sana.
Afu Iker anazingua
 
wakuu naona match ya sligo rovers na mayo league livescores na resultz ni 6-0 ,
 
Back
Top Bottom