Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Chelsea ***** zenu fungeni basi dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea ***** zenu fungeni basi dah
Hivi mungu anasikiliza maombi ya nani!!Hahaha...mie nliwapa draw na nimeipata.
Si haba...
aaaaaahhh...!!!!! sumve usitufanyie hivyo baaana tulishakubaliana hapa tuma mkeka kabla ili tugawane umasikini sasa wewe baada acha uchoyo wa mawazo.
Hii hapanaombeni set ya normal leo premier betting.........
Zenit win
Wolfsburg win
Club brugge win
Ajax win
Everton win
Mě natokaa hiv leo......Hapo vip wadau
zote nimezipa evertoon itakuchania mkeka
wadu,leo ukikosea mkeka unawezaje ku aka cancell kama una bet mtandaoni.maana leo badala ya kuweka dau la elf 5 nikajikuta naweka elf 50 imeniuma sana na mkeka ulisha chanika.
wadu,leo ukikosea mkeka unawezaje ku aka cancell kama una bet mtandaoni.maana leo badala ya kuweka dau la elf 5 nikajikuta naweka elf 50 imeniuma sana na mkeka ulisha chanika.
chelsea win, bayen win... total odds 2.2 weka hata laki ikiliwa ntakurudishia