Nilikuwa naangalia game
ya GSW vs Denver leo, Denver wameshinda kwa 114 - 103. Steve Kerr wakati
anahojiwa kwa nini hakuwachezesha The Splash Brothers amesema
walihitaji kupumzika kwa sababu wana back to back games, anawataka wawe
fresh kwa show ya kesho Alfajiri ambapo wanacheza home kwao vs New York
Knicks!
Expectations: Knicks watakuwa blown out kwa sababu zifuatazo:-
1. Knicks wana poor form msimu huu, ndiyo ya mwisho kwenye ligi.
2. Star wao Camelo Anthony yuko majeruhi, offense iko so poor
3. Wameuza wachezaji wengi kama J. R. Smith, Iman Shumpert na Amar's
Stoudmire ambao walikuwa ni wachezaji muhimu sana; hawajafanya usajiri
wa maana kucover hizo gaps
4.
Steph
Curry, Clay Thompson na wenzao watataka kutoa show kwenye home
ground, kumbuka wamepumzika vya kutosha pia.
Lines: GSW (-19.5), 201.
Kwa wazee wa basket, hii game ni ya kuweka mzigo afu unalala kusubiria
matokeo:
Bet: GSW over 110 pts, odds ziko kwenye 1.9 ila zitabadilika badilika
baadaye.
Mi leo nauza simu, laptop na begi lake leo, nipate laki 5 ya kutupia
hapa. Tutaonana alfajiri