JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Hii nadhani ndiyo inafaa kuwekwa hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo juju punter anapost code za mikeka Wapi mkuuuMbona wanaija hawana thread kama hii..
Hivi wale wakina juju punter wakina bayo, wale mkeka wao unafatwa na watu zaidi ya milioni moja kwa nigeria tu.
Wale ukiona mkeka umecut basi ni 2 - 6 games kati ya games 20-60.
Wako serious. Humu sisi kila mtu na akili yake. Embu tuendelee kubet. Tuache mifano kama tunajua sana. Leta kitu cha akili kama kawaida yako. Acha kuja na mifano kuwaaminisha watu hawa wasioelewa kwa maono yako
Tuliza shundu leta mkeka mfalme. Acha hizi kelele.
Utakuwa mgeni wa mitandao chief... Unaijua Nairaland forum!?... Kutana ma-nairalanders kuleMbona wanaija hawana thread kama hii..
Hivi wale wakina juju punter wakina bayo, wale mkeka wao unafatwa na watu zaidi ya milioni moja kwa nigeria tu.
Wale ukiona mkeka umecut basi ni 2 - 6 games kati ya games 20-60.
Wako serious. Humu sisi kila mtu na akili yake. Embu tuendelee kubet. Tuache mifano kama tunajua sana. Leta kitu cha akili kama kawaida yako. Acha kuja na mifano kuwaaminisha watu hawa wasioelewa kwa maono yako
Tuliza shundu leta mkeka mfalme. Acha hizi kelele.
Me since day one niliweka game zote 2+ had jumapiliAfcon mechi ya 6 wanatoa 2+ in a row. Jichanganye sasa mechi inayofuata.
Hata leo ni mwendo wa 2+, odds za direct win za 1.32 haziaminiki kabisa kwenye michwano hii.Me since day one niliweka game zote 2+ had jumapili
ndo mambo tunapendaaaaHii nadhani ndiyo inafaa kuwekwa hapa!
View attachment 2873314
Ndio kiongoziUmefanikisha?
Unaanza lini mpaka lini mkuuhuu mkeka wangu ni asilimia 100 %....betpower code ni 26FDBCE
kuanzia mpaka ijumaa jioni....Unaanza lini mpaka lini mkuu
Utakuwa mgeni wa mitandao chief... Unaijua Nairaland forum!?... Kutana ma-nairalanders kule
Hao jamaa kitambo sana kwa hii game mzee
Ni zaidi ya Jf bongo .. tena kitambo saana!
Nipo kule since 2010 kwa I'd ya UngaUnga
Hiyo selection ya mechi ya Juventus likely itachana mkeka.
Juventus anashinda mapema tu hii game,,,,,,,Hiyo selection ya mechi ya Juventus likely itachana mkeka.