Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kayombo tupumzishe kidogo mkuu daaah!!!
umeona isiwe tabu, umevumilia umechoka umeamua umchane tu.
jamaa anatuweka njia panda kwa kweli, alisema kila siku atakuwa anatuletea rollover ya 2-3 odds, lakini bandika bandua anayoileta tunashindwa kuelewa rollover ni ipi na treni ni lipi
 
Hahahahaha! Ila mwana ni mwelewa akiambiwa.
 
Back
Top Bottom