Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
Yap hapo umenenaHapa Ndio Uamini Kuwa Betting Ni Ku Take RISK TUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap hapo umenenaHapa Ndio Uamini Kuwa Betting Ni Ku Take RISK TUU
✔️5JT3P
1x bet
Mmh!! Subiri Kwanza aisee!!!Aisee afcon ni balaa, south africa kafungwa leo. Hakika Tanzania inashinda kesho.
Haikuwa rizkiwest harm kanikosesha laki 6 kwa game 20 yaani yeye tu ndio kaharibu
west harm kanikosesha laki 6 kwa game 20 yaani yeye tu ndio kaharibu
Huyu mtu akiwa away ndo shida yake hiyo, ata home tu huwa anapewa 1x ndo anajitahidi tena akiwa anacheza na washika mkia, kwa kina city na Liverpool havukiMimi Pia Mikeka 2 West Ham Kaharibu sijui kwanini daaaa [emoji2297][emoji2297]
South africa hamma timu pale fatilia mechi zake za mwishi mwisho...!Aisee afcon ni balaa, south africa kafungwa leo. Hakika Tanzania inashinda kesho.
Nakili natamshi yakoStars akitoa draw au kushinda naachana na betting nifanye shughuli nyingine. Wanasemaga kwenye kubeti hakuna matokeo ya 100% ila leo ni uwekezaji halisi.
Habari kiongozi kazi zako telegram ziko vizuri sana ila ningeomba uweke timu chache za uhakika zaidi kuliko over 10 match unakuta hakosekani mmoja wa kuchana nashukuru wa basketball [emoji459] nilikua team chache zimetikiNazingua nini mkuu? Kuna makosa gani nafanya hapa?
Inakera sana hii [emoji2]west harm kanikosesha laki 6 kwa game 20 yaani yeye tu ndio kaharibu
Sawa mkuu. Nimepokea kwa mikono miwili ushauri huu mzuri. Leo tunaendelea mkuu.Habari kiongozi kazi zako telegram ziko vizuri sana ila ningeomba uweke timu chache za uhakika zaidi kuliko over 10 match unakuta hakosekani mmoja wa kuchana nashukuru wa basketball [emoji459] nilikua team chache zimetikiView attachment 2874244
Pamoja[emoji120]Sawa mkuu. Nimepokea kwa mikono miwili ushauri huu mzuri. Leo tunaendelea mkuu.
4BAD4C1 Remix
Kanikosesha hela ya supu mjinga huyuWestham kala kadi nyekundu. Tuonane kesho.