Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipigo vimezidi mpaka watu wanaona nyotanyota, huyu jamaa hajui huu ni mwezi gani. duh!Wanangu acheni kwanza huu mwezi upi
Kwamba mwezi ujao utakuwa na matokeo?!!😂😂😂Wanangu acheni kwanza huu mwezi upi
Ukampa sporting cp mwanetuu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] Kazi mnayooLeo muda bado !!
Kuna baadhi zina hesabiwa zote 90 ..30 hadi penat kwenye ile option ya (to qualify)wewe umeanza kubeti lini?? husomagi sheria zao muhindi anahesabu dakika 90 tu za ndani ya mchezo za ziadi kama extra huwa haesabii.
Mkuu tunaweza kupata codeSafari ya leo ni ngumu kumesaaa ndiyo odds 1000[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] imeanza hiyooo View attachment 2917000
Bora umechunguza! Huenda kuna uhuni wanatufanyia.liver kashinda ila mikeka inaonesha lost sijui nini maana yake
Muwe mnaelew mambo ya regular time.Bora umechunguza! Huenda kuna uhuni wanatufanyia.
Wanayo ila inatakiwa kuwe hakuna mechi inayocheza muda huo Wala zilizoanza basi unaweza cash out, pia ukiweka mechi 5 ikichana Moja unarudishiwa mshiko wakoIv wadau playmaster hawana cash out
Utaita maji mma humu. Kanywe bia hiyo helaHabari zenu Wana jamii.
Naombeni nipate walau possible odds kumi tu niweke laki
Hizo odds possible nawe utakuwa unacheza au utakuwa refarii?Habari zenu Wana jamii.
Naombeni nipate walau possible odds kumi tu niweke laki