Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbna kama ela hii.....ngoja niweke 100
Huu mkeka umetulia ila mechi ya gent naiondoa
Njo nkupejamani naombeni msaada wa odd 10+
Naomba code mi picha haifungukiHuu mkeka umetulia ila mechi ya gent naiondoa
Code tafadhali picha haifunguki kwangu
ndo nimekuja broNjo nkupe
Timu inaongoza ligi kwa tofauti ya point 10 halafu bado unambetia ushindi?🤣psg ananikosesha million 7 kwa mia
Hizi story tushazichoka, Kila siku utasikia sijui nani kanikosesha milion 10🤣psg ananikosesha million 7 kwa mia
Kulikuwa na odds 26k zimetumwa humu Juzi nilichukua nikaweka 100 ndo kaanguka psg zimebaki game 10...Hizi story tushazichoka, Kila siku utasikia sijui nani kanikosesha milion 10
🤣Uachage ubishiHizi story tushazichoka, Kila siku utasikia sijui nani kanikosesha milion 10
Ilikuwa kwenye mkeka mrefuTimu inaongoza ligi kwa tofauti ya point 10 halafu bado unambetia ushindi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 UmeonaeeeHizi story tushazichoka, Kila siku utasikia sijui nani kanikosesha milion 10
Arouca vs Sportingi Lisbon> over 2.5jamani naombeni msaada wa odd 10+
Ndo mna danganyana hivi!! Kwenye betting fuatilia team ndo uweke bet sio kubet kijinga hivo.Wakuu kuna hawa jamaa BET INSIDER sijui kama kuna aliyewahi kuwa fuatilia. Nimewafuatatia hii ni wiki ya pili game zao zote huwa zinatoa halafu ni fixedView attachment 2930475