mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
Psg uyu tumeyakanyaga apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana mkuuAngau basketball imenipa pesa ya supu siku 2 mfululizo, ngoja nikanywe supu ya samaki kwanza niangalie kama niandae mkeka au nijipe likizo mpaka UEFAView attachment 2956171
Apo nakubaliana na wewe, straight win ni hatari saiviHizi game za Sasa ni kuzipa goli timu Moja over 0.5 home au away
natafuta hii option yako mzee siioni kabisa....zaidi ya asian handcape...emb nisaidie hapoAngau basketball imenipa pesa ya supu siku 2 mfululizo, ngoja nikanywe supu ya samaki kwanza niangalie kama niandae mkeka au nijipe likizo mpaka UEFAView attachment 2956171
Ipo juu baada ya home or awaynatafuta hii option yako mzee siioni kabisa....zaidi ya asian handcape...emb nisaidie hapo
Huyu na ndugu yake Dortmund wapo Hali Tete,bayern Munich the mother fuc.ing team
Code bas mdau tuluke nayoNaona naenda tena pata hela ya lunch kwa kanji, basketball ni tamu ila ikiamua kukutafuna unatoa mlio kama nokia 3310, chwirii chwirii, unakuta umeweka over 214 wanamaliza na 213, hapo ndio unaanza kujua umuhimu wa 1 au 0.5View attachment 2956178
Baba mechi gan iloanza hapoKwaiyo mdau unatuletea code game zimeshaanza