Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwaiyo mdau unatuletea code game zimeshaanza
Nmeandika mpk majina ya timu il anaetumia kampun tofauti awekee kam code inagoma zisearch, tren lishaanza kuondok
Screenshot_20240407-120233.jpg
 
Wanazingua Sana,nataka nihame betpawa kwenye suala la cash out wanablock Sana ,nihamie wapi
 
Mwisho wa msimui kuna maajabu ya kutoshaaa... Yanii ni hatariii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo kadeposit tenaa kijanaa helaa zako si hazina kaziii
 
Back
Top Bottom