Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20240410_112704.png
 
Wakuu nawaza kutoa hivi,
1. PSG vz Barca -GG
2. Atletico vs Dortmund -GG
3. West Bromwich vs Rotherham - Over 1.5 Home team.
Nataka odd 3 tu nitie 30k, mtazamo wenu ndg maafisa ubashiri.
 
Ukipenda kimoja nichek Whatsapp tufanye kazi +255623553450

1.Jinsi ya kuhack account ya Instagram ya mtu yoyote [emoji119].

2.jinsi ya kuhack camera [emoji991] ya cm ya mtu mwingine kwa kumtumia link,, akiifungua tu Hana bahati [emoji336][emoji23].

3.jinsi ya kutengeneza Whatsapp bot [emoji880] kwa wale hawajui Whatsapp bot inavyofanya kazi nichek Whatsapp nikupe maelezo[emoji2764][emoji273].

4.Jinsi ya kuhack account ya pugb ya mtu yoyote.

5.App ambayo inatabiri betpawa virtual %70 [emoji736] [emoji119][emoji880].

6.Jinsi ya kupata fr€€ internet [emoji273][emoji335][emoji106] unlimited.

7.jinsi ya kurudisha account ya Whatsapp iliyopigwa ban [emoji973]️[emoji1863].

8.jinsi ya kusoma massage za Whatsapp za mpenzi wako kwa kumtumia link akiifungua tu Hana bahati [emoji23][emoji2960][emoji33]

Oya vitu vipo vingi ni wewe tu kunichek na buku lako na hii ni promotion kwasababu bado hatuwa international [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
NENDA FACEBOOK
 
Dah ukiweka mkeka usifatilie iwe ni pata potea Jana nilitakiwa nichape 22k iliyobaki casapia nikaona mambo yasiwe mengi cash out wamenipa 19k ila nivyobofya cashout nikashangaa 17k dah huyu kanji mavi Sana alafu kela limetoa kha!

View attachment 2958448
ukiona cashout inakubali second half dakika za 60+ potezea ujue inatoa
 
Wakuu nawaza kutoa hivi,
1. PSG vz Barca -GG
2. Atletico vs Dortmund -GG
3. West Bromwich vs Rotherham - Over 1.5 Home team.
Nataka odd 3 tu nitie 30k, mtazamo wenu ndg maafisa ubashiri.
IKO POA.

ILA FOR THE CASE OF CALCULATIONS ZA RISK WEKA SINGLE BET 30K. GAME YA BARCA
MBONA HIO FAIDA YAKE INATOSHA TU MKUU LENGO NI STAREHE SIO KUTAJIRIKA KWA UPATU.
 
Huu uzi natabiri utakufa siku si nyingi.
Kamari ni Janga kwa vijana ambao ni nguvu kazi ya nchi.

Haya umeliwa nenda kaweke tena.[emoji16][emoji16][emoji16].
Hii addiction ilinitesa sana ila sasa nimekuwa mtu huru shenzi kabisa.
Ukitaka kamari hasa betting ikuendeshe na ikuzabe vibao vya maana iendekeze kupitiliza..yaan jitu kila siku linataka tu kubetkubet kubet hakuna lingn la maan atawaza kweli pesa ya muhindi tamu lakini bet sio jambo la kuendekeza utajikuta kwenye nyakati ngumu na frustrations za kufa mtu daily.
BET HATA KWA WIKI MARA2 MIKEKA MIWILI TU KULINGANA NA KIPATO CHAKO.
Ikibidi siku nyingne bet hela kubwa kutafuta kitu kidogo.mfano lak1 kutafuta lak na 50...
 
K

KAMARI ni Kamari tuuu

Hata ubeti mara Moja kwa mwaka,ujue ndio umo humo humo huma tofauti na daily bettors

Mtu anaweza KuBET kila siku 3000,wewe ukabet kila wiki 30,000 sasa tofauti nini hapo

Hata iwe odd 1.01 bado haina assurance
 
Wakuu nawaza kutoa hivi,
1. PSG vz Barca -GG
2. Atletico vs Dortmund -GG
3. West Bromwich vs Rotherham - Over 1.5 Home team.
Nataka odd 3 tu nitie 30k, mtazamo wenu ndg maafisa ubashiri.
Naona ilitoa vizuri.Hongera afisa...
 
Back
Top Bottom