Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kama mnavyoona hapo chini nataka niweke 1 Millon kwenye hizi games vipi nitataboa kweli hapa wadau hiyo pesa mnayoona nataka niweke hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifiri mashogaNdio nini hiki sasa gazeti lefu halafu pumba tupu
Hapa unaonesha won tiket yenye odds ya 1.04 au stake? Nini unachotambia?Sina njaa kama wewe usifikiri Kila mtu humu ana njaa kama zako
Onyesha Yako uliyowon jana mzee wa odds 1000 stake 500 ila Kila siku lose hiyo tunaita Safari ya chizi mwisho wake anarudi na makopo🤣🤣🤣🤣Hapa unaonesha won tiket yenye odds ya 1.04 au stake? Nini unachotambia?
Nishauri mzee niweke ngapiLakini kwa hela yote hiyo unaweka game mbili kweli?
Poa poaWe weka tu hela ukipata kheri ukikosa umejifunza
Poa poaUnawez toboa..kama Mwizi kupitia dirishani nakuna milango
Hiyo hela game ni moja tuNishauri mzee niweke ngapi
Poa mwambabahati yako unaweza pata
Sawa mwambaHiyo hela game ni moja tu
Poa poaNgoja kwanza usiweke, nakuletea code. Uifuate tafadhali.
PoaPunde si punde vilio vitaanza.
"Nalia pole,nalia pole sana"- Jenefia mgendi
Poa poa