Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Kumbe 1xbet sikuhz tunawezA weka kwa simu ebu nipe muongozoNimewapigia betwinner wameniambia Kuna shida kwenye mfumo wa malipo huko e wallet. Kwahiyo nisubiri kwa muda wa saa 24 nadhani shida hiyo hiyo ndio ipo na 1xbet... Ameniambia Airtel inasapoti kupitia E wallet ila mitandao mingine inajitegemea aah nikaona miyeyusho tu nimekata simu..Yani mm nataka niweke mkeka saiz wao wananiambia nisubiri..nimewauliza Airtel wanasema wao hela washaipeleka kwa wahusika