Good
Download VPN playstore, washa vpn kisha Tumia telegram. Usikose kujiunga kwenye channel hii 👇
Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Download VPN playstore, washa vpn kisha Tumia telegram. Usikose kujiunga kwenye channel hii 👇
Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
Oi kuna sehemu ya bonus wamesema nijaze promo code ili nipewe bonus zangu ila kila nikijaza "TIPS2424" inasema not vslid promo codeView attachment 3080464
TENGENEZA FAIDA YA 85000 LEO KWENYE PARIPESA KWA STAKE YA 100000.
Jisajili Na Bet PARIPESA Hapa 👇👇
PariPesa
PariPesa
PROMO CODE WEKA NENO👉👉 TIPS2424
Booking Code: MC3MZ
Tumia Promo Code TIPS2424 ili upate bonus ya mpaka TZS 250000 utakapo Deposit Kwenye Akaunti Yako Ya PARIPESA.
Sawa. Promo Code TIPS2424 inafanya kazi pale unapojiunga kwa mara ya kwanza, ndiyo maana inatakiwa uweke unapojiunga mara ya kwanza.Oi kuna sehemu ya bonus wamesema nijaze promo code ili nipewe bonus zangu ila kila nikijaza "TIPS2424" inasema not vslid promo code
Ila niliijaza sijapata bonusSawa. Promo Code TIPS2424 inafanya kazi pale unapojiunga kwa mara ya kwanza, ndiyo maana inatakiwa uweke unapojiunga mara ya kwanza.
Mkuu Ser hawa paripesa wana utaratibu gani kama kwenye tennis timu moja anaporetireSawa. Promo Code TIPS2424 inafanya kazi pale unapojiunga kwa mara ya kwanza, ndiyo maana inatakiwa uweke unapojiunga mara ya kwanza.
Vipi kuhusu sportybet una lolote la kuongezeaBila kusahau kwamba kampuni hizo ndio zinaongoza kwa kudhulumu ukiwapiga parefu
1xbet ndio kampuni mama, hizo zingine zote zinatumia template na server za 1xbet
Zimejaa ujanja ujanja mwingi sana kuliko maelezo
Hapa Bongo alianza 1xbet akasepa na hela zetu kwa kutoa mobile payments
Akaja 22bet akaja na hadithi hizo hizo akasepa na mpunga wa watu
Akaje Helabet sasa hivi kabaki tia maji tia maji kuweka hela na kutoa ni issue
Kaja Paripesa, kuna mitandao inanjia ya kuweka pesa tu, ukishinda hakuna njia ya kutolea unaambiwa utoe kwa njia uliowekea
Mwaka huu hauishi Paripesa atakua kapotea
Sasa hivi 1xbet karudisha mobile payment kinyemela hajasajiliwa na bodi muda wowote kitabuma..... bora kutumia wakala ni uhakika ila kuna usumbufu
Bado kuna Betwinner pia
Kuwa makini sana na makampuni ya kirusi
Sio kama nayaponda hata mimi natumia 1xbet kwasababu ya wingi wa machaguo na app yao ni super
Naomba wasiliana na customer support wa PARIPESA watakusaidia mkuu. Utawatumia ticket no yako halafu watakupa majibuMkuu Ser hawa paripesa wana utaratibu gani kama kwenye tennis timu moja anaporetire
Mkuu Ser hawa paripesa wana utaratibu gani kama kwenye tennis timu moja anaporetire
Daah thanks mkuuView attachment 3080508
Nimechat na haya ndiyo majibu yao
Na kuna watu wana uraibu wanapeperusha vindege kwa 100,000.Kuna betting company gani zinazooperate hapa bongo zinaruhusu kiwango hiko cha stake? Nyingi zinaruhusu mwisho milioni 3.
Kibongo bongo unapokuwa na cash money ya kuanzia 50 mlns na unaendelea kubet basi utakuwa na shida.
Hii kampuni ina option nyingi sana ila ipo kama haina nyota hivi. Mimi mwenyewe huwa natafutia mtaji kisha maharishi kwenye kampuni nyingine.Dah hii kampuni sijui kwanini Sina mzuka nayo hata wa kujiunga yaani nikiingiaga sporty bet sinaga mzuka na kampuni nyingine sijui kwanini
Siku hizi kuna mawakala hawataki uchanganye payment method.Bila kusahau kwamba kampuni hizo ndio zinaongoza kwa kudhulumu ukiwapiga parefu
1xbet ndio kampuni mama, hizo zingine zote zinatumia template na server za 1xbet
Zimejaa ujanja ujanja mwingi sana kuliko maelezo
Hapa Bongo alianza 1xbet akasepa na hela zetu kwa kutoa mobile payments
Akaja 22bet akaja na hadithi hizo hizo akasepa na mpunga wa watu
Akaje Helabet sasa hivi kabaki tia maji tia maji kuweka hela na kutoa ni issue
Kaja Paripesa, kuna mitandao inanjia ya kuweka pesa tu, ukishinda hakuna njia ya kutolea unaambiwa utoe kwa njia uliowekea
Mwaka huu hauishi Paripesa atakua kapotea
Sasa hivi 1xbet karudisha mobile payment kinyemela hajasajiliwa na bodi muda wowote kitabuma..... bora kutumia wakala ni uhakika ila kuna usumbufu
Bado kuna Betwinner pia
Kuwa makini sana na makampuni ya kirusi
Sio kama nayaponda hata mimi natumia 1xbet kwasababu ya wingi wa machaguo na app yao ni super
Huo mfumo ndio wa uswahili Sasa yaani mtu kuweka pesa mpaka wakala yaani wakala awe anajua Mimi nimeweka kiasi gani na nimewithdraw kiasi gani si mambo ya ajabu hapo ndio haya makampuni ya kirusi yanapofeliSiku hizi kuna mawakala hawataki uchanganye payment method.
Yaani wakiona huwa kuna muda mnadeposit kwa mitandao ya simu, siku system ikakuelekeza utoe kwake anakataa.
Sasa mkeka imechanika labda saa 6 usiku then saa saba ukaona mechi yenye fursa ya kupata hela na mawakala wameshalala si unadeposit tu kwa mobile!
Yaani Haina nyota nafikiri hata jina lake limekaa kiswahili Sasa Kila mtu hawezi kuifuatilia mfano mwingine ni Biko sport ipo kama sio kampuni ya betting yaani watu hawana habari nayoHii kampuni ina option nyingi sana ila ipo kama haina nyota hivi. Mimi mwenyewe huwa natafutia mtaji kisha maharishi kwenye kampuni nyingine.
Tumia vpnTelegram haifanyi kazi, machimbo ya mikeka tunayapata wapi tena?
Mimi yamenikuta, aligoma kutoa kwa sababu kuna miamala ya kadhaa ya nyuma mfululizo nilideposit kwa simu na hiyo siku system ikanielekeza nitoe kwake.Huo mfumo ndio wa uswahili Sasa yaani mtu kuweka pesa mpaka wakala yaani wakala awe anajua Mimi nimeweka kiasi gani na nimewithdraw kiasi gani si mambo ya ajabu hapo ndio haya makampuni ya kirusi yanapofeli
Je unaweza kufuta account ukaanza upyaSawa. Promo Code TIPS2424 inafanya kazi pale unapojiunga kwa mara ya kwanza, ndiyo maana inatakiwa uweke unapojiunga mara ya kwanza.
Kampuni kama hizo ni kukaa nazo mbali tu Kwa usalama wa pesa zakoMimi yamenikuta, aligoma kutoa kwa sababu kuna miamala ya kadhaa ya nyuma mfululizo nilideposit kwa simu na hiyo siku system ikanielekeza nitoe kwake.
Akaniambia nikancell tu muamala niendelee na mitandao ya simu.
Pesa ikawa kama mapambo. Mwisho Nilipambana nikafanikiwa kutoa kwa simu ila kwa kupiga simu na kuwasiliana na email kitengo cha security pamoja na kupiga simu.