Jitahidi sana ufatilie kwa kina ligi moja kati ya ligi nyingi duniani.
Hii itakusaidia kupata odds 1.5 hadi odds 3 kwa wepesi na uwezekano mkubwa wa kushinda mkeka.
Mfano mimi EPL na Ligi kuu Bara, kuna timu za faida sana hua sisumbuki kuziwekea maamuzi.
EPL
Man Utd akiwa home mechi na timu za kawaida nampa 1x au over 0.5 second half.
Tott akiwa home ni 1x
Man City akiwa home ni direct win
Liva direct win akiwa home au 1x
Arsenal win mazima.
NBC
Simba & Yanga win mazima au over 1.5 ila simba akiwa mikoani sichezi magoli.
Singida ya Mwigulu 1x
Azam 1x
Mechi nyingine za hela ni UEFA na EUROPE LEAGUE tena huu mfumo mpya utakua mzuri sana.
Italy na Uturuki wazee wa kupanga matokeo hua sisumbuki nao.
Najaribu kushea nawe uzoefu.