Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nenda Google chrome kafungue kitu kinaitwa betpawa search hapo harafu uta jisajili na sehemu ya kuweka pesa yako utaona ikipigwa ni wewe Sasa unalia na mwenye betpawa🤣
Mie najua kindege Aviator tu🛩️
 
Yani ni hivi matokeo unaona kabisa uwanjani na pia kwenye site mbalimbali kama prediction utaona, kwenye Mpira ni umakini tu wa uchambuzi ila Huwa hayajifichi
Kumbe ni simple hv 🤔🤔, ngoja niende nikafungue account
 
36
Sina website yoyote mpwa 🤔
Hiyo 2x sijui hata ndo nini.
Ningepata muaminifu, ningemtumia pesa kwenye account yake ili anichezee......sema sasa humu Jf mawinga na wajanja wajanja kibaoo😅😅.
Atakwambia kachaniwa mkeka, kumbe pesa kaitafunia #KitambaacheupeMbagala 😂😂😂
Odds
Weka Huo mkeka mowa 3000 tuanze weekend kesho pamoja
.sportybet.
6455A81
 
Leta na nambayako nikufyngulie acc then ntakuelekeza jijnsi ya kuwekaaa na mtu anapoweka codes hapa unaziwekaje kwenye acc yako na kubet
Mpwa🧐
Tutamaliza shughuli salama lakini?
Nikutumie sh ngapi?
 
Sawa mpwa...ngoja nijaribu, asa nikishinda nitajuaje.
Hela yangu si itarudishwa makao makuu?
UKISHINDA MPWA UKIINGIA KWENYE ACC YAKO INASOMA JUU MPWAA..NINGEKUWA NA SALIO NINGEKUCHEZEA SEMA HIZI LINE ZA SMART ZINA MIKOPO NYOKO KESHO NANZA KUPUNGUZA MOJA NIANZE KUITUMIA
 
UKISHINDA MPWA UKIINGIA KWENYE ACC YAKO INASOMA JUU MPWAA..NINGEKUWA NA SALIO NINGEKUCHEZEA SEMA HIZI LINE ZA SMART ZINA MIKOPO NYOKO KESHO NANZA KUPUNGUZA MOJA NIANZE KUITUMIA
Pole mpwa😔 ushawaigi kushinda?
 
Mpwa🧐
Tutamaliza shughuli salama lakini?
Nikutumie sh ngapi?
Tuma 5000 kwa odds 30 plus tumia 5000_10000
nikishaweka nakuonyesha hapa kinachopatikana ukiwin

Kesho nakuweka hapa screenshot mpwa ya tips zote

Intact nakuwekea pia screenshot zitakazokuwepo ili izifwatilie
 
Back
Top Bottom