Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tujaribu na huu wakuu safari ishaanza
 

Attachments

  • Screenshot_20241123-155130.jpg
    Screenshot_20241123-155130.jpg
    241.7 KB · Views: 3
Mzee wa man u win? Ila we jamaa unafataga game za moto tuu
Mkuu sometimes game nazo ukizichambua sana zinakuaga na disappointment sana ziki lost
Mi naonaga mara moja moja ni bora kujilipua game moja au mbili tu

Nilikua namvizia Man U akitoka kuvurunda game basi game inayofuata namfuata mazima😂
Na akitoka kuwin game inayufuata nakaa naye mbali

Barca katoka kupoteza game ya ligi huku Madrid anamfukizia
Nimejipa moyo hawezi drop point 2 au 3 kizembe
Kushinda ni muhimu
 
Amechomoa 1 mwanang Kuna muda walitaka nicashout 22000 mkeka ni wa milion na change ila mpaka Sasa match zilizobak ni 5 na yy ndio anasua sua , kma akiend kipind Cha kwanza sale bac atashinda
 
Back
Top Bottom