Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaah nimeamka kucheki mkeka wangu wa over 1.5 , porto vs sporting wamepita nao ,wengine wote wametiki[emoji2955][emoji2955]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe huyo huyo
Screenshot_20250108-072808_MelBet.jpg
Screenshot_20250108-072819_MelBet.jpg
 
Arsenal wakija kupata kombe lolote lile katika miaka elfu moja ijayo ni bahati sana , Team la kijinga sana hata Goli 1
Jana nilidhani watakaza hata kama watakosa EPL angalau wapate hivi vidogo vidogo lakini wapi😂
 
Wakamaria wenzangu kampuni gani nzuri kwenye kuweka na kutoa pesa Kwa njia ya mitandao ya simu kati ya Halobet, Betwinner na Linebet?
 
Ndugu zangu

Galatasaray win and GG mnaiona ikitoa

Mechi tano za mwisho Galatasaray ametoa GG

Mechi 5 za mwisho za BB 4 ametoa GG

Je leo Atatoa maana odds zake zinanitamanisha
 
Wakamaria wenzangu kampuni gani nzuri kwenye kuweka na kutoa pesa Kwa njia ya mitandao ya simu kati ya Halobet, Betwinner na Linebet?
Jaribu na melbet dakika 0 pesa inasoma. Pia maswala ya 10% ya TRA hakuna.
 
Back
Top Bottom