Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet


Code: 3E4945C


Mimi nisingechoma Mercedes Benz kama Goodluck Gozbert
 

Attachments

  • Screenshot_20250125-110040~2.png
    Screenshot_20250125-110040~2.png
    44.4 KB · Views: 2
nililetewa afu nane jana kwa buku...nikajiafanya nawaamini wofubagi......dakika za jiooniiii watoto wakachomoa 2-2 kanji anaagiza pilipili sahiv anakunywa chai na pilipili
A5D4297 sportybet
TIA HERA UPATE HERA
NB: KUA MAKINI NA CASHOUT USICHEZE MBALI
 
@kentaro yuko wapi siku kama hizi tunayamisi matreni ya odds 10000 na kuendelea! Maana jana Sheffield nimempa atoe goli moja tu alikuwa na odd 1.18 na akashindwa nikaliwa leo nataka matreni tu niweke buku buku, na jero jero mikeka hata ya elfu 50 kuliko kuliwa elfu 50 na mkeka mmoja wenye odd 2 ni ujinga
 
1xbet naona wamerudisha miamala kwa simu (deposit & withdraw), huduma hii ipo sawa au ndo leo unaweka ukila huwezi withdraw kwa mobile money? nani katumia hii huduma?
 
Mfuate Man City kwenye KONA
Odd 1.6
Muombe Leverkusen bao moja tu
Odd 1.2

Halafu chagua kati hizi game mbili
Mfuate Aseno mazima Odd 1.5
Au
Mfuate Sevilla mazima Odd 1.7

Always stake what you can afford to lose 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom