Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Yaani team linaingia uwanjani halitaki kufunga wala kufungwa,duh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi mkuu turuke nazo kwa mwelekeo wa game?Kuna odds 3.65 kwa over 1.5 katika mechi ya Real sociedad vs Getafe
Asante mkuu mzigo umetoa fast tuKuna odds 3.65 kwa over 1.5 katika mechi ya Real sociedad vs Getafe
Ndio naona hapa ilibaki hiyo chenji nikajilipua tu.Mzigo umetoa
Safi MkuuuuAsante mkuu mzigo umetoa fast tu
Mi niliweka fasta elfu 10, nikivunja fasta 8,000 over 0.5 odds zilikuwa 2, elfu 2 over 1.5 odds 6Ndio naona hapa ilibaki hiyo chenji nikajilipua tu.View attachment 3214930
Wewe unaijua betting. Kuna muda unamshambulia mhindi kwa kujilinda. Hauendi mbele mazima.Mi niliweka fasta elfu 10, nikivunja fasta 8,000 over 0.5 odds zilikuwa 2, elfu 2 over 1.5 odds 6
Rogwa rogwa1xbet naona wamerudisha miamala kwa simu (deposit & withdraw), huduma hii ipo sawa au ndo leo unaweka ukila huwezi withdraw kwa mobile money? nani katumia hii huduma?