Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe hata huko mbele watu wameshaanza kuhis hizi match zinapangiwa matokeo,hili tukio limetokea jana
Screenshot_20250224-075812_Facebook.jpg

jAmaa baada ya kufunga alitolewa na kocha wake,kwenye comments kuna raia kasema huyo alietakiwa kupiga penati,ameshakosa penati kama tatu zilizopita,hapo chini ni baadhi ya comments za wadau
Screenshot_20250224-080715_Facebook.jpg
Screenshot_20250224-080756_Facebook.jpg
 
Kumbe hata huko mbele watu wameshaanza kuhis hizi match zinapangiwa matokeo,hili tukio limetokea janaView attachment 3247371
jAmaa baada ya kufunga alitolewa na kocha wake,kwenye comments kuna raia kasema huyo alietakiwa kupiga penati,ameshakosa penati kama tatu zilizopita,hapo chini ni baadhi ya comments za wadau
View attachment 3247375View attachment 3247376
Italia ni kama Africa tu kwenye kupanga matokeo. Mimi hua siweki mkeka mechi yo yote Ligi za Africa au Italia.
 
Back
Top Bottom