Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oy family anayejua namna ya ku edit mechi kama awa wapuuzi anielekeze tafadhali
IMG-20250222-WA0014.jpg
 
Ukifanya analysis yako vizuri ukapata mechi zisizozidi nane zenye uhakika na odds zisizozidi 3 mara nyingi utakuwa unafanikiwa. Let's say umeweka mikeka mitano kila mkeka shilingi elfu tano na odds 2 halafu mikeka mitatu ikakubali miwili ikachanika bado una faida
Hakuna cha analysis wala analususu mjomba betting ni mchezo wa kuliwa tu cha muhimu usiwekeze kama ndo biashara yako utalia wewe bet kujifurahisha tu ile hela ambayo wanywa bia au wavuta sigara hutumia kwa hizo starehe zao na wewe betting iwe starehe yako unatia vibuku au vijero kulingana na kipato chako kuna siku utaokota hela ya supu utashukuru lakini hii si biashara.
 
Naheshimu mawazo yako lakini nikuulize kuna possibility ya simba kufungwa na coastal union goli tano kwa sifuri?
 
ZUZU tu NDIO ataweka possibility ya Coastal Union kumfunga Simba 5 bila

Analysis ni Muhim unless uwe mtu hujui hata maana yake ni nini.

Mtu anafikiria betting ni kama kuvaa condom ya Mtumba Bila kujali usalama
 
Jazaneni ujinga tu alafu muanze kulialia na kusema "kuanzia leo nastaafu kubet" kama kawaida yenu.
 
Naheshimu mawazo yako lakini nikuulize kuna possibility ya simba kufungwa na coastal union goli tano kwa sifuri?
Kama Yanga alifungwa goli 3 na Tabora, hata simba anaweza kufungwa na Coast goli nyingi.
Siku ile ya mechi ya Yanga na Tabora ungeweza kusema atafungwa goli 3?

Kwenye mpira matokeo yoyote yanawezekana.
Hata ukichambua mechi kwa kutumia matambiko bado haikupi 100% ya kushinda
 
Hakuna cha analysis wala analususu mjomba betting ni mchezo wa kuliwa tu cha muhimu usiwekeze kama ndo biashara yako utalia wewe bet kujifurahisha tu ile hela ambayo wanywa bia au wavuta sigara hutumia kwa hizo starehe zao na wewe betting iwe starehe yako unatia vibuku au vijero kulingana na kipato chako kuna siku utaokota hela ya supu utashukuru lakini hii si biashara.
Kweli mkuu mimi sikuhizi natafuta pesa ya kula na nauli kwa siku nikila elf 9 inanitosha, betting ili ule pesa ni kuweka dau la kuanzia elf 20 hukosi Cashout, Sasa hivi Mimi navizia Cashout ikifika elf 13 faida nachukua
 
Bora yako wewe ila betting ukifanya ndio biashara na chanzo cha mapato lazima utakua chizi tu.
 
Hakuna cha analysis wala analususu mjomba betting ni mchezo wa kuliwa tu cha muhimu usiwekeze kama ndo biashara yako utalia wewe bet kujifurahisha tu ile hela ambayo wanywa bia au wavuta sigara hutumia kwa hizo starehe zao na wewe betting iwe starehe yako unatia vibuku au vijero kulingana na kipato chako kuna siku utaokota hela ya supu utashukuru lakini hii si biashara.
Bahati ipo sikatai ila, Nakumbuka enzi za Dr. Leakey Football betting tulikuwa tunaiwezea kwa sababu alikua anafanya analysis kali sana kwa mechi chache..

Fikiria yule jamaa akiwa anabeti atapigwa mara ngapi na kula mara ngapi kwa wiki

Usikatae utafiti
 
Kweli mkuu mimi sikuhizi natafuta pesa ya kula na nauli kwa siku nikila elf 9 inanitosha, betting ili ule pesa ni kuweka dau la kuanzia elf 20 hukosi Cashout, Sasa hivi Mimi navizia Cashout ikifika elf 13 faida nachukua
Leo siku ya ushindi weka kama ifuatavyo.
*BRIGHTON VS BOURNEMOUTH
BB: Over 1.5 magoli
Over 8.5 corner
*WOLVES VS FULLHAM
BB: Over 1.5 magoli
Over 7.5 corner
*BARCELONA VS ATLETICO M
BB: Over 1.5 magoli
Over 7.5 corner
CELTIC VS ABERDEEN
BB: Celtic Win
Over 2.5 magoli
CRYSTAL P VS A.VILLA
Over 1.5 magoli.
Hapo zaid ya odds 7 na 99.9% uhakika.
 
Back
Top Bottom