Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Japo chelsea simwamini lakini natembea naye kwa ngumuView attachment 3249442
Big WON
Screenshot_20250226-001457_MelBet.jpg
 
Barcelona waki....nge yani, nasubiria laki 4 hapa alibaki yeye tu halafu mpaka dakika 80 anaongoza 4-2, nikajua imeisha hiyo, nikaja Jf kuangalia makamaria wanasemaje, nina uhakika mzigo unaingia... Narudi kuangalia mkeka 4-4 daaaah
 
Kesho kuna hela inamwagika kesho tushindwe sie tu maana liver over 1.5 mechi nzima, Al ahly win or draw, man u atoe goli moja, Madrid win or draw, rangers win or draw, Singida win or draw, Leipzig atoe goli moja, Psg win, juventus win or draw! Weka Hati ya Nyumba hapa weka mpaka figo yako moja 😄
 
Kuna kipindi M bet system yao ilikua kama imeyumba ivi. Sasa kuna jamaa mmoja cashier alishtukia maana ilikua akimprintia mteja mkake alikua na uwezo akauprint zaid ya mara kumi kwa hela ile ile. Sasa alichokua anafanya anatufuta mechi yenye uhakika 99.9% eg beyern ile ya balaa Vs na kibonde odd ina weza ikawa 1.12 sasa yeye hapo anatia laki alafu ana urdia rudi zaidi ya mara kumi kwa dau hilo hilo moja na ukitiki inatiki mikeka yote let's aliweka mikeka kumi hapo anadraw milion na kitu. Jamaa alipiga sana hela hadi wanakuja kustuka kashapiga zaid ya milion 30.
Duhh!!
 
DDbBET KAMPUNI MPYA YA KUBET TANZANIA

OFFER ZILIZOPO DDBET

UKIJISAJILI NA KUEKA HELA WANAKUPA MARA 2 YA KIASI ULICHO WEKA👇

HAWAJAMAA HAWANA MAKATO KABISA ILE YA 10% NI FULL KITONGA

UNAWEZA KUIBETIA MECHI MOJA ZAIDI YA MARA 2 KWENYE MKEKA MMOJA KWA OPTION TOFAUTI

APPLICATION YAO NI NYEPESI SANA [THMOOTH] KUIPAKUA GUSA👉https://db-bet.co/3EpTcbU

UNAWEKA PESA NA KUTOA MWENYEWE HUITAJI WAKALA📌💰

KUJISAJILI NA DBBET GUSA👉DBbet á Online sports betting á DBbet online bookmaker log in á db-bet81459.top

PROMO CODE JAZA BUZA

KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU DBBET WhatsApp +255713675547
 
Ndugu yaani bado unaujasiri wa kuiweka Chelsea kwenye mikeka?
Achana nayo kabisa.
Ndugu matokeo umeangalia lakini??? Bado unaidharau Chelsea?
Chelsea wamepiga mtu bao 4....
Celtic wamepiga mtu bao 7..
Al Hilala wamepiga mtu 5...
Mkeka wa legendary.
 
Nimeamka nimekuta kamtaji kidogo 💥
 
Attachments

  • Screenshot_20250226-074936_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250226-074936_SportyBet.jpg
    94 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250226-074921_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250226-074921_SportyBet.jpg
    207 KB · Views: 2
Bado mikeka hii miwili mmoja nili flex mara 3 hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20250226-075505_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250226-075505_SportyBet.jpg
    62.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250226-075555_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250226-075555_SportyBet.jpg
    62 KB · Views: 1
Kesho kuna hela inamwagika kesho tushindwe sie tu maana liver over 1.5 mechi nzima, Al ahly win or draw, man u atoe goli moja, Madrid win or draw, rangers win or draw, Singida win or draw, Leipzig atoe goli moja, Psg win, juventus win or draw! Weka Hati ya Nyumba hapa weka mpaka figo yako moja 😄
Ingekuwa simple hivi wote humu tungekuwa na altezza
 
Back
Top Bottom