Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Metz ana hali mbaya!! Muepukeni huyu jamaa kwa sasa.
 
besiktas kaniharibia handicap yangu daaahhh......
 
Duh leo nampa SOTON,tottenham,man u,barca,leverkusen na mainz05

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mida hii jamani nafikiria kwenda meridian leo...
 
Dah nilimpa newcastle naye yupo nyuma kwa goli 2. Sidhani kama wanaiweza comeback hawa! Ngoja ntengeneze tu mwngne. Man u,barca,liverkusen,na schalke
 
Dah nilimpa newcastle naye yupo nyuma kwa goli 2. Sidhani kama wanaiweza comeback hawa! Ngoja ntengeneze tu mwngne. Man u,barca,liverkusen,na schalke

Ameshaharibu mikeka ya watu...!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Leverkusen,Schalke04,Augsburg,Mainz05,Leicester,Ipswich,Monaco.
 
Dah leo kanjibah katuweza! Barca,man u washapgwa hadi sasa. Liverkusen na schalke dkk ya 85 bila bila. Shikamoo kanjibah kale kahela kajana umekachukua tena
 
Back
Top Bottom