Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

select sports halafu itatokea sehemu ya betcard hapo tuu unaweka deposit voucher yako kisha password

huenda unachokosea ni wakati wa kuweka password kama herufi ujabadilisha kutoka kubwa na kuwa ndogo

yaani nachokisema kati ya zile payment method ipi ni nzuri zaidi
 
chalton kapewa nyingi hadi nimeogopa! Nimepga kama huo normal na cap


jana higuain alinpa mpunga ila kanjbah hadi sasa kimya!

jana mi vilareal kaua bendi nilikua nishahesabu hela nzuri.. Kanjibah sikuhz anachelewa sana ku2pia mpunga
 
Posible gamez ni handcap win kwa madrid na chelsea. Weka msimbazh upate misimbazi mi3
 
Mechi leo hamna ngoja niwape cap chelsea madrid na wolves kwa 10$ napata 100$
 
Yani huyu eto'0 yeye kufunga hadi awe nyumbani darajani kinyume na hapo hafungi..
 
Mnamfilisi kanjibai kila siku what do u expect

hahahahaha ila na yeye kuna watu anawapuna ile mbaya. Makampuni ya betting yana hela sana we si unaona timu kibao england zina dhaminiwa na makampuni wa betting..
 
Leo weka cap dortmund na hawa vibone manure hawa!
Ila kanjibah kanikera sana
 
Back
Top Bottom