Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .

leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
Aliyetoka first division anakuaje kibonde? Arsenal ndio vbonde ambao walinusurika kushuka.Timu hakuna mnategemea ukongwe wa jina ndio ucheze mpira? Nyie mtakuwa kama Newcastle united nao ni wakongwe
 
Lakini ukumbuke hao Bentford walimchapa kipigo cha mbwa koko hata man u kwenye mechi ya kirafiki.
 
Mashabiki wa Arsenali bhana! Sisi wa Chelsea tunasubiri tu ligi ianze ili tuanze kushusha vipigo vya mbwa mwizi baada tu ya kuurejesha kundini mtambo wetu wa magoli.
 
Mbona Arteta ni kocha mzuri ameleta mafanikio Arsenal na kushinda kombe la FA, na Community Shield au kuna shida gani tena ?
 
Back
Top Bottom