Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la uzembe wa madereva hapana, miundombinu yetu mibovu.Sababu lazima itakuwa uzembe wa madereva na/au ubovu wa barabara.
Reckless driving #1Ajali zimekuwa nyingi mfululizo shida nini
R.I.P Na pole kwa majeruhi wote.
#3 sheria za barabarani nyepesiSheria za usalama barabarani,zimepitwa na wakati.
Inatakiwa ukisababisha ajali ukauwa mtu kifungo kinakuhusu cha miaka miwili jela .
Asante, tena dereva wa gari letu wakati tumefika Dodoma asubuhi ndo akatupa orodha ya waliofariki akiwemo dereva mwenzake ambaye jana pale Stand ya Magufuli walipata ugali pamoja kabla ya wote kuanza safari ule usiku wa jana.Pole Sana
Asante mtumishi kwa ushauri mzuri.Ai
Seeeee polee sana Katoe sadaka ama unaweza tuma kwangu ntaiombeaaa
Tafuta maskini au wenye uhitaji wowote toa sadaka.Inauma sana, hiyo ajali imenikosa Mungu akaepusha.
Nilipanda gari lingine la Kibisa usiku huo wa jana nikaacha hilo lilopata ajali
MPWA UNAKUMBUKAGA ILE ISSUE YA UBUNGO TUKAWACHANA WAKAFUKUZWA TRAFFICK KIBAOReckless driving #1
#2 madereva wengi vichaa
Ova
Sawa ndugu, nashukru kwa ushauriTafuta maskini au wenye uhitaji wowote toa sadaka.
Mungu bado ana kusudi na wewe. mshukuru sana MUNGUInauma sana, hiyo ajali imenikosa Mungu akaepusha.
Nilipanda gari lingine la Kibisa usiku huo wa jana nikaacha hilo lilopata ajali
Wakishuka na kukunjana mashati sababu ya uendeshaji mbaya lafu lafu mmoja akipigwa nondo kwenye Medulla mnasema asingeshuka angeacha kwanza kutokee majeruhi na abiria wengine wafe kwanza ili tupate habari za vifo vya abiria mitandaoni,N mapepo yanatuamdama ama uzembe wa manresa...