Mikese: Wanne wafariki ajali ya basi la Kibisa, 15 wajeruhiwa

Mikese: Wanne wafariki ajali ya basi la Kibisa, 15 wajeruhiwa

NAPENDAGA KUSALI MAKANISA YA KIROHO
MAJUZI NILIKUWA KANISA MOJA MDADA MZURI AKALIPUKA PEPO ANASEMA HUU MWEZI MPAKA NOV KUZIMU WANAANGUSHA SANA MAGARI NA SASA KATUMWA KUDILI NA MALORI WENZIE MABASI AISEE NILISHTUKA TUNAONA MSHANGAO LAKINI WALE MADREVA WAKIPONA WAULIZEN KUNA VITU WANAVIONA IKISHATOKEQ AJALI WANARUDI NORMAL
 
Gari zikigongana USO kwa USO hakuna sababu yoyote zaidi ya uzembe wa dereva mmojawapo au wote wawili.i
 
Itakuwa wagombea vyeo wanafanya makafara si bure.
 
Kama ushawahi kuemdesha njia za mikoani huwezi kushangaa ajali za mabasi. Hawa watu wanaendesha kama vichaa! Sasa sijui abiria huwa wanakua wamelala?
 
Back
Top Bottom