Mikese: Wanne wafariki ajali ya basi la Kibisa, 15 wajeruhiwa

Mikese: Wanne wafariki ajali ya basi la Kibisa, 15 wajeruhiwa

mkuuuu kilichokutokea kilintokea mm
Unakumbuka dar express ilichinja pale wami longtime....

Lile basi nilifika nkataka kukata tkt

Bibi akawa amebaki na mama na natakiwa nirudi nae....alipomuogesha bibi moshi hapo

Bibi akaombaa abaki sikuhio tu kesho aende akanipigia....nikagairisha

Aisee gafla nasikia ajali....kumpigia mtu ambae huwa anatukatiaga tkt akahamaki ujaenda aisee lilegari la asbh limeisha lote mandala yanaokotwa kila kona

yaan tungeisha na mama wote
 
Pole sana ulichinja Ng'ombe au bado zile roho zinakufuata maana na Wewe ulikua kwenye list
 
kuna basi za mwanza majuzi kati yaan tumeondoka pamoja ikifika sehemu wameandika speed flab jamaa anaovertake kwa speed kubwaa na traffick wanamwona akiwakaribia anapiga honi

sasa wewe mbuzi kafara mfwate uone..faini na kama kuna dreva mwingine wewe wsnabaki na wewe

njian kuna mengi sana..ile basi nahisi n yakwanza kuingia dar inavutika
 
Pole sana ulichinja Ng'ombe au bado zile roho zinakufuata maana na Wewe ulikua kwenye list
Mbuzi mkuuu na tukala mpaka na wanakijiji acha tu tukaondkka keshokutwa yake ile ajali ungeangalia sijui hata wangepata mwili wangu maana huwa nalala bodi nusu ilikatika sijui pepo ama ndio faraka
 
Mbuzi mkuuu na tukala mpaka na wanakijiji acha tu tukaondkka keshokutwa yake ile ajali ungeangalia sijui hata wangepata mwili wangu maana huwa nalala bodi nusu ilikatika sijui pepo ama ndio faraka
Hapo sawa umefanya Jambo
 
HALI YA HEWA YA KESHO N MAWINGU KIASI NA MVUA KIASI
MIKOA ITAKAYOATHIRIKA NA AJALI
LINDI
MTWARA
SINGIDA
IRINGA
NA NJOMBE
ABIRIA MNAOELEKEA HUKO OMBENI MTUBU NA KUSALI MKIWEZA ANDIKEN NA URITHI MFIKE SALAMA
TUNAWATAKIA SAFARI NJEMA
 
Inauma sana, hiyo ajali imenikosa Mungu akaepusha.

Nilipanda gari lingine la Kibisa usiku huo wa jana nikaacha hilo lilopata ajali
Mshukuru sana Mungu ndugu yangu .wajaliwe kupumzika kwa amani.
 
Siku hizi ma ajali yamekuwa mengi mno!
Bado Tena Kuna maubakaji,maufiraji,mautekaji li nchi limekuwa la hovyo sana sijui ni makafara ya uchaguzi sielewi hata ni Nini!
Siku za mwisho
 
Tanzania hakuna vita ila kuna ajali zina maliza watu kweli kweli.
 
Pawpaw
Huna kale kanyimboo ka tuonaneee milele tuonanee bamdarinimlee
 
Tusindikize ndugu zetu
 
lakini pia madereva wa mabasi wanaendesha kama wapo kwenye simulation. si mchana si usiku, ukiona bus liwe unapishana nalo ama lipo nyuma yako, chukua tahadhari..lawama tunapewa madereva wa maroli
 
jana kuna mtu nikamuambia kesho kwa maana ya Jumamosi lazima ajali itokee pahala popote hapo jamhuri ya danganyika. na kesho lazima itokee ajali. ajali imekua kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom