Mikhail Gorbachev kazikwa kiaibu sana ila yatamrudia Putin

US wakimsifu kiongozi wa nchi Fulani ujue Kuna Tatizo mahali anapoongoza kiongozi huyo! Mikael ndiye aliratibu CIA kukalia Moscow na viunga vyake baada ya kuiua Soviet Union. Hawezi kusamehewa kirahisi na former KGB wanaojitambua!
Mtoa post Bado ni mtoto hajui siasa vyema jinsi ilivyo
 
Mngemchukua nyie sasa [emoji631] mkamzika
Maana yeye ndie alikuwa chanzo
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1431]
 
Hujui mengi huyo si wa kwanza na hatakua wa mwisho kuzikwa bila heshima za kitaifa. Leonid Brezhnev alifanyiwa hivyo pi
 
Putin mwenyew aliwai kuwa krb na viongoz wa Marekan , sijui kosa la huyo mjuba ni lipi ?
Lini hiyo Putin alikua karibu na Wamarekani? alipokutana na Clinton? Au alipokutana na Bush 2008 na 2014, Trump 2018?
 
Keep dreaming
 
He was a traitor.
US wakimsifu kiongozi wa nchi Fulani ujue Kuna Tatizo mahali anapoongoza kiongozi huyo! Mikael ndiye aliratibu CIA kukalia Moscow na viunga vyake baada ya kuiua Soviet Union. Hawezi kusamehewa kirahisi na former KGB wanaojitambua!
 
Baada ya kushiba togwa unaanza kupiga ramli kama teja
 
Putin hawezi kuanguka kwa vimaneno uchwala kama vyako
 
Sarcasm 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣
 
Putin anafanya na anasimamia anachokiamini,sio mnafiki kabisa,haweza uzuria kinafiki kwenye msiba wa aliye sababisha ukomunist kudondoka,hawezi kabisa,kumbuka ya kuwa Putin na ukomunist ni Damu Damu. So Mimi sioni kukuacha wafu wazikane
Sasa huyo dikteta Putin anashindwa nini kuirejesha nchi kwenye communist dictatorship wakati yeye ni paramount ruler.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…