Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Yaa nani aangaike kwenda kununua nyanya sijui 2rd floor huko .Naunga mkono hoja yako mkuu Chris.Mfano mzuri soko jipya la Magomeni ,ingawa ni ghorofa zuri wateja wachache sana ukilinganish
a na soko la ndizi Mabibo.
Makumbusho sokoni, pametulia kama maji yenye barafuNi suala la muda tu pata changanya. Ni kama Makumbusho paliboa sana mwanzo ila sasa ni moto
Nani aende porini kule?..Picha ya soko tafadhali?
Hivi soko la Ndugai lilishaanza kutumika?
Soko la makumbusho hakuna kitu pale hata kitunguu maji hupatiNi suala la muda tu pata changanya. Ni kama Makumbusho paliboa sana mwanzo ila sasa ni moto
Miradi ya Mwendazake hiyo,ndio maana Rais kawapiga marufuku kujenga huu upuuzi.Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu.
Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha.
Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5.
Pesa hizi ni za walipa kodi.
Serikali haijafanya uchunguzi wa eneo hili kama lina wateja wa kutosha.
Wasafi Radio.
View attachment 1962836
Soko au stand?Ni suala la muda tu pata changanya. Ni kama Makumbusho paliboa sana mwanzo ila sasa ni moto
Naunga mkono hoja yako mkuu Chris.Mfano mzuri soko jipya la Magomeni ,ingawa ni ghorofa zuri wateja wachache sana ukilinganish
a na soko la ndizi Mabibo.