Mikindani Mtwara: Wafanyabiashara wadaiwa kukimbia soko lililojengwa kwa billion 5 kwa kukosa wateja

Mikindani Mtwara: Wafanyabiashara wadaiwa kukimbia soko lililojengwa kwa billion 5 kwa kukosa wateja

Duniani masoko yanayouza vitu mchanganyiko Na bei nafuu kama huwezi kukuta ni gorofa
Bora wangekuwa wanajenga uwanja tu mkubwa kama wa mpira na maduka yaliozunguka hapo ingeleta faida na hata wateja wangekuwa wanajaa maana una hakikisha kila kitu kimo humo mpaka vibanda vya mama lishe
 
Ninamsifu sana aliobuni ujenzi wa siko hili na masoko yote yaliojengwa miaka 5 na 1/2 ilopita!

Ni wazi wameegemea miaka 10 na zaidi ijayo!!

Strategically planned!!!
Leo huna chakula unaweka akiba ya mwakani,solve tatizo lililopo kwanza,tunaishi leo sio jana wala kesho
 
Naunga mkono hoja yako mkuu Chris.Mfano mzuri soko jipya la Magomeni ,ingawa ni ghorofa zuri wateja wachache sana ukilinganish
a na soko la ndizi Mabibo.
serikali wakitaka hilo soko kufanya vizuri ni kufunga soko la mabibo na kuwaamrisha wote waamie Magomeni, simple
 
Huku bukoba wafanyabiashara wanalitamani Sana soko Kama hilo
 
Leo huna chakula unaweka akiba ya mwakani,solve tatizo lililopo kwanza,tunaishi leo sio jana wala kesho
A typical black man mentality...no wonder tupo hapa tulipo...wenzetu wanawaza mambo ya miaka 10 to 100yrs, a black man is thinking of today's issues...hili ndilo tatzo la IQ《《30. We will always be 3rd world countries, ht space colonization tutaifanya 1000yrs after a white man has done it.
 
Mambo mengine ni kichekesho yaani mtu amekopa banki mwisho wa mwezi rejesho, ameenda mahali hauzi hata 100 unaongea habari za kwenye makaratasi.

Hivi machinga complex mpaka sasa ina muda gani??
 
Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu.

Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha.

Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5.
Pesa hizi ni za walipa kodi.
Serikali haijafanya uchunguzi wa eneo hili kama lina wateja wa kutosha.

Wasafi Radio.

View attachment 1962836
Lengo kuu la kujengwa soko huko lilikuwa ni kutanua mji wa Mtwara na kuondoa msongamano katikati ya mji ulio karibu na bandari. Soko liko pazuri maana hata stendi kuu ilipojengwa ni karibu na soko hilo lakini pia ilikuwa inachochea watu kujenga maeneo yanayozunguka soko na stendi kuelekea Mikindani ambako ndipo nyumba bora zilipo.

Hapo inaonesha siasa ndio zimeingilia kushinikiza shughuli zirejee kule kule soko la zamani lilipokuwepo mwanzoni kitu ambacho kitafifisha maendeleo.

Lijengwe soko jingine Sabasaba kuhudumia mjini kuliko kuharibu miundo mbinu iliyojengwa kwa manufaa ya kiuchumi na stendi ya dala dala ihamishiwe karibu na soko la Chuno patachangamka tu.

Suala jingine watu wa huko wana ubishi wa asili sana hawakubali ushauri
 
Wafanya biashara masokoni ukishawajengea soko,basi hutawaona tena hapo

Ova
 
Mambo mengine ni kichekesho yaani mtu amekopa banki mwisho wa mwezi rejesho, ameenda mahali hauzi hata 100 unaongea habari za kwenye makaratasi.

Hivi machinga complex mpaka sasa ina muda gani??
Mtannikumbuka 👇

2952061_JamiiForums569115795.jpg
 
A typical black man mentality...no wonder tupo hapa tulipo...wenzetu wanawaza mambo ya miaka 10 to 100yrs, a black man is thinking of today's issues...hili ndilo tatzo la IQ《《30. We will always be 3rd world countries, ht space colonization tutaifanya 1000yrs after a white man has done it.
Wenzako wakina nani?tomorrow never comes,machinga wanatafuta sehemu ya kufanya biashara leo we unaenda kujenga soko porini ,soko sio shule,hata kanisa na msikiti havijengwi vichakani,machinga complex mpaka leo mwaka wa 20 haina watu,soko la ndugai km 17 mtu afuate nyanya fungu mbili
 
Back
Top Bottom