Mikindani Mtwara: Wafanyabiashara wadaiwa kukimbia soko lililojengwa kwa billion 5 kwa kukosa wateja

Watu wamepiga ndefu sana hapo
 
Shida badala watafute location katikati ya mji wawalipe watu wajenge huo mjengo wao wanatoka nje ya mji
 
Kweli Kaka Mshana...huu ni ufisadi mwingine, kwa nini serikali iko kimya? Bilioni 5 kwa soko gani? Au lina lifti?...Huu wizi...hiyo hela itarudi lini? Mkopo wa WB utarudushwa vipi?
 
Naunga mkono hoja yako mkuu Chris.Mfano mzuri soko jipya la Magomeni ,ingawa ni ghorofa zuri wateja wachache sana ukilinganish
a na soko la ndizi Mabibo.
Ni huzuni sana. Yaani wakati mwingine tuachwe tu tuishi bila mipangilio....yaani ni aibu
 
hapo bas zetu za kutokea mjin lazima zipite chuno zinazunguka ligula pale magomen mnada wa mbuz mbae ufukon mpaka mikindan.ila hata mim napendelea sana sabasaba kuliko hapo
sabasaba vitu nafuu la mjin bei ghal.karot moja 500
 
Dawa ni kuwaachia machinga masoko makubwa wafanyabiashara wakubwa waende kwenye masoko hayo ya serikali kwa bei nafuu kama ya wamachinga
Yaani iwe verse verses tuone tena machinga watakimbilia wapi
Kaaa maachingaaaa kama kupe yamganda ng'ombe ?
 
WHITE ELEPHANT
 
Ili masoko yote yafanye Kazi lazima watoeee wanaouza bidhaa barabarani popote pale ndo uhitaji utaongezeka na watu wataenda
 

Umeelezea uvivu in a very simple way!
 
Aisee mbona frame nyingi tena za kuvutia?
Labda unazungumzia maeneo njee kabisa ya soko na stand pale pame changamka changamka.
Lakini sokoni mule ndani kuna fremu kibao ziko tupu hakuna biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…